CDC Africa: Vipimo vya Corona Virus vinavyotumika Tanzania vinafanya kazi vizuri


Let's hope for the best, things are getting worse bro.
 
mi kama kitu nakijua naona wewe hukijui nitakujibu blank.kuwa sio sahihi....kama nina shaka ndio nitachunguza...hivyo huyo mtaalamu inaonesha ana uhakika na majibu yake
 
Aliyemwambia havifanyi kazi vizuri ni nani? Mbona kama majibu yake kayatoa haraka kana kwamba anataka kuwafurahisha watu fulani?

Huku tume imeundwa kuchunguza contradiction kwenye majibu ya COVID-19 Husababishwa na nini, yeye anawahi kutoa majibu yake. Baadhi ya wasomi wa Africa wanatumika vibaya.
 
But how many ? Nchi ngapi za afrika zimelalamikia vifaa mpaka sasa? Well ni tz tu.
Inamaana vya wenzetu ni.orijino vyetu fake...?
Sio Tanzania peke yake imelalamika. Tanzania ina distinction ya ku test kisiri siri non human samples. India wao wali test kisiri samples za wagonjwa wanaojulikana wana Corona, samples zikarudi negative.

Wengi tu wamelalamika mbona. Netherlands, Spain, Turkey, India walilalamika kabla ya Tanzania.



Halafu mtu wa CDC Afrika anaongea from afar
hizo mashine zenu hazina shida!

How ridiculous!
 
This was simple. Inaonyesha chinese devices zina shida.
Kwani hatuwezi kuchange vendor tukanunua nchi zingine? Au tunasubiri misaada ya jack ma?
Maybe CDC walimiss something but serikal yetu inhetakiwa iwe makin kutoka mwanzoni..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vifaa vimetolewa na wachina marafiki zetu,wachina sio mabeberu,hivyo hawawezi kutupa vitu vibovu.Wengi walitarajia wasikie vimetoka Ulaya au Marekani
 
Kazi ni pevu!! Mwisho wa hii Corona hautakuwa mzuri kwa kila mtu.
 
Dr anaitwa nkengasong tipikal atakuwa mkikuyu.
Kwa kuwa sikusoma shule/darasa moja na wewe, natamani siku moja apatikane mtu ulie soma nae ili atueleze ulikuwa mtu wa aina gani darasani, maana sikuelewi unachoandika. Katika baadhi ya unayo andika nilidhani ni kutokana na mapenzi ya chama, lakini kadri siku zinavyo kwenda ndio nazidi kuto kukuelewa.
 
Ndiyo vinafanya kazi! Si vimetuambia papai lina korona!! Ila havifanyi kazi iliyotegemewa!! Vinafanya kazi ya kupotosha!
 
... zingatieni utaalamu acheni kujitoa ufahamu. Anyway, tusubiri ile tume ya maprofesa tuone itakuja na ripoti ya aina gani. Kwa mbaali naanza kuona ripoti ikichanwachanwa vipande tena kimya kimya.
Report itachakachuliwa na kusema maabara ni mbovu vifaa feki lazima waje na majibu ambayo mtukufu magufuli atapenda ayasikie, siyo majibu sahihi kuwa vifaa ni vizima na ni bora sana, tume itakuwa ya kufurahisha mtukufu siyo kuwabambikia ukweli watanzania
 
Ndiyo vinafanya kazi! Si vimetuambia papai lina korona!! Ila havifanyi kazi iliyotegemewa!! Vinafanya kazi ya kupotosha!
Papai lina DNA? Papai lenyewe lilikuwa na Ugonjwa ndani wadudu walikuwemo kwanza aliyepeleka vipimo pengine ana corona nani alimpima kabla?

Mashine imesetiwa kusoma mfumo wa DNA nyinyi mnaenda kupima mazao ni mifugo kisha mnataka iwape majibu yapi zaidi ya hayo mliopewa ?
 
Nature will define our course. Those that survive, good luck. Those that go away, make sure you prepare yourselves for the eventuality
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…