Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee ,kumbe bado umekomaa kwamba meza na vitasa vinaambukiza corona? Mkuu unajua kwa ninj tunatakuwa kunawa mikono Mara kwa Mara kwa maji tiririka na sabuni au kutumia sanitizer,Kama unaelewa sana matusi ya nini. Hao wataalamu wanaotoa maelekezo nao wanatoa kwa kupapasa. Aina ya ugonjwa na mashambulizi yake ni mambo mageni. Mwenyewe unajiita hujijui. Pole yako.
Anaekomaa ni nani? Mimi au wewe? Si neno. Mimi sina mjadala juu ya kunawa.Aisee ,kumbe bado umekomaa kwamba meza na vitasa vinaambukiza corona? Mkuu unajua kwa ninj tunatakuwa kunawa mikono Mara kwa Mara kwa maji tiririka na sabuni au kutumia sanitizer,