CDC Africa: Vipimo vya Corona Virus vinavyotumika Tanzania vinafanya kazi vizuri

Hivi mtu uhujumu vipimo ili iwe nini?!

Tuache porojo... Magufuli HATAKI taarifa zijulikane, PERIOD!!..
Jihadhari na uwapendao, covid19 tunayo kitaa
Ukisubiri takwimu za mzee Pombe kutoka Chato ndio uchukue hatua utapotea kabla ya kutimiza ndoto....
Wenye akili tulisha jua kuwa Jiwe amesha jiona amefeli katika kupambana na corona sasa anatafuta mtu wa kumbebesha lawama

Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua hatua za tahadhari ndugu, Pombe haji kukutibia ukikutwa na maradhi wala hatohusika na majukumu yako utakayoyaacha ukitoweka.
As far as hospital hajazifunga na ugonjwa upo miongoni mwetu, tuchukue hatua stahiki.

Mpende jirani yako kama nafsi yako, huwezi toa upendo kuzidi kiwango chako cha upendo
 
Hivi JPM alisema moja kwa moja kuwa vifaa hivyo ni vibovu? Nimesikiliza hotuba yake mara kadhaa...alisema au wataalamu wetu labda wanatumiwa au vifaa vina matatizo...au....akaagiza wuzara ya sheria na katiba washirikiane na wizara ya afya wafanye uchunguzi....akagusia masuala ya criminal charges kwa watakaobainika.
Hivi kweli JPM alisema moja kwa moja kuwa vipimo hivyo vya Corona vina matatizo??!! Nimeisikiliza hotuba yake mara kadhaa...alisema au wataalamu wetu wana matatizo au wanatumiwa au vifaa vina matatizo....au......akaagiza wizara ya sheria na katiba kwa kushirikiana na wizara ya afya wafanye uchunguzi...akagusia criminal charges...baadaye wizara ya afya ikaunda tume...Binafsi huwa nachukia mno wale wanaopotosha makusudi hotuba za JPM
 
Mkuu umeiskiliza. Hotuba ya JPM kwa maskio yako ya kichadema au. Let me tell you watu wanakuona mpumbavu wa Haja kama unaenda kijiweni kusema my mfupa Ana bwawa. Kukaa kimya Ni vizuri. Kuwa reasonable ni bora. Muhimu kuwa makini


Sent using Jamii Forums mobile app
 
To be honestly Dr.magufuli is not a professor.
And not the only person with PhD holder in africa.
A lot of leaders and non-gov leadears in afrca has phd.

Sent using Jamii Forums mobile app

You didn't catch my point...!!
I know he isn't the only one. But the way he behave looks like he is the only one in Tanzania and Africa.
Magufuli is a PhD holder in Chemistry but he's interfering others professionals.....this a very serious mistake!
 

Wewe Ni xuzu tu. Akili za kuambiwa changanya na zako! Kwa akili yako ulitaka Magufuli wako atamke moja kwa moja kuwa Kits ni mbovu?
Kama alipeleka samples za Papai,Mbuzi, Kware sijui na Mafenesi matokeo yakawa Positive na Inderterminate ulitegemea itumike lugha gani kwa hixo Kits?
 

Africa CDC owned by Dr. Fauci? And...

Bill Gates... satan’s reincarnation? WTH?
 
Africa CDC owned by Dr. Fauci? And...

Bill Gates... satan’s reincarnation? WTH?
Find the facts.Learn who Bill Gates and Anthony Fauci are.Get to know especially what their carriers entail,you will discover that what I have said is true.They are extremely evil people.

Watch this video and see the lunacy they want to do to the world,utagundua kwamba these are truly evil people,and remember that this is only a tip in the iceberg.



I am sure you will also love to watch the following video.



And for the WHO and the African CDC,they are funded mostly by the Gates and Melinda Foundation,so if this is the case,the rest is History.
 
Aisee....hii lugha ya dharau, kejeli na matusi nadhani umeizoea...Nini maana ya zuzu...kwani huwezi kujadiliana kwa lugha ya staha...inawezekana tatizo ni malezi...na huenda una mfadhaiko wa akili...unaonaje ukianza kumwambia baba yako mzazi kuwa yeye ni zuzu??
 
Hv kwa uelewa wenu huyo jamaa wa CDC ataongea kitu tofauti Zaid ya kufanya vizuri hvyo vifaaa???? Za kuambiwa changanya na zako
 
Wao kama wanahisi Rais kadanganya. Waje na utafiti wao. Wachukue sample hizo wapime tupate majibu.

Kusema vinafanya kazi vizuri haimanish kakanusha kua kua vinapima hata papai.
Prove it. Pia Rais alitilia mashaka watu wa maabara. Some time there is a human error.
 
Atasemaje kuhusu ripoti hii kutoka Kenya inayohusu bidhaa zinaoagizwa kutoka China, km sukari iliyogundulika ina kemikali (mercury na copper) za kuhatarisha afya ya binadamu.
 

Attachments

  • VID-20200511-WA0002.mp4
    5.2 MB
Like all Presidents of the world, our beloved President is also human not only subject to err but errs in whatever he says and does. He has a PhD in Chemistry but wouldn't know what is Chlorine and its uses in day to day life.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…