Kama unaelewa sana matusi ya nini. Hao wataalamu wanaotoa maelekezo nao wanatoa kwa kupapasa. Aina ya ugonjwa na mashambulizi yake ni mambo mageni. Mwenyewe unajiita hujijui. Pole yako.
Aisee ,kumbe bado umekomaa kwamba meza na vitasa vinaambukiza corona? Mkuu unajua kwa ninj tunatakuwa kunawa mikono Mara kwa Mara kwa maji tiririka na sabuni au kutumia sanitizer,