mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Pole kwa wafiwa, huenda alikuwa ana matatizo mengine sio chanjoUtafiti gani wewe mtanzania wa mabwepande umefanya,hata kutengeneza barakoa umeshindwa Leo hii ujifanye mtaalamu wa kuchunguza vilivyotenezwa na mabeberu,
Huku kijijini kwangu hivi karibuni Kuna mwalimu kastaafu na kupewa mafao yake,ili ayale vizuri akaenda kuchanja J&J,Leo hii warithi wake wanayafaidi huku yeye tumesha mwimbia barapanda litalia
Endelea na utafiti wako