#COVID19 CDC imeshauri watu kuachana na chanjo ya J&J kwani inasababisha kuganda kwa damu kwenye ubongo, watumie Moderna ama Pfizer

hata kama kuna hiyo case, nani atakutangazia?
Kuna majitu mapumbavu sana, kila siku wanasoma habari ila akili hazijiongezi. Kuna taarifa ya wiki hii kuna maelfu ya wanajeshi wa marekani ambao wamegomea chanjo na kuna ugomvi mkubwa wa chinichini, watu hawajiulizi kwanini hadi wanajeshi wamegomea chanjo?.. kuna Siri gani wanayoijua?,halafu watu walichanjwa Tanzania hawajafika hata 2% ya watu milioni 60. Sasa tuliobaki bila kuchanjwa mbona tunadunda!?.. ukitaka kujua wabongo wengi ni fuata upepo mtu anachanjwa eti kwasababu kasikia asilimia 70 ya watu Israel au Uk wamechanjwa. Huo ndo utaahira wenyewe.
 
Kuna Bibi Ana betri kwenye moyo wake, tangu amechomwa chanjo ya JJ. Anaisi kidonda kwenye moyo wake na maumivu pia.
Huyo bibi ametengeneza wasiwasi ndani yake ndio maana anajihisi ana maumivu, ugonjwa wa moyo una tabia ya kutengeneza wasiwasi na ukajiona mgonjwa kumbe ni wasiwasi wake tu, Mimi ugonjwa wa moyo ulinifanyia wasiwasi kwa muda wa miaka mitatu nikawa hata nikipanda gari ikipita kwenye mashimo najihisi kama moyo unataka kusimama, lakini kumbe ilikuwa ni wasiwasi tu nilioutengeneza mwenyewe, nilipoondoa wasiwasi na kujiambia mwenyewe kwamba sasa nimechoka, liwalo na liwe sasa hivi Niko vizuri nasafiri umbali wowote bila shida kabisa, namshukuru Mungu, wasiwasi umeisha !
 
Mburula wamejaa
Kuna majitu mapumbavu sana, kila siku wanasoma habari ila akili hazijiongezi. Kuna taarifa ya wiki hii kuna maelfu ya wanajeshi wa marekani ambao wamegomea chanjo na kuna ugomvi mkubwa wa chinichini, watu hawajiulizi kwanini hadi wanajeshi wamegomea chanjo?.. kuna Siri gani wanayoijua?,halafu watu walichanjwa Tanzania hawajafika hata 2% ya watu milioni 60. Sasa tuliobaki bila kuchanjwa mbona tunadunda!?.. ukitaka kujua wabongo wengi ni fuata upepo mtu anachanjwa eti kwasababu kasikia asilimia 70 ya watu Israel au Uk wamechanjwa. Huo ndo utaahira wenyewe.
mburula wamejaa na wapo duniani kote
 
Mburula wamejaa

mburula wamejaa na wapo duniani kote
Wewe ndo kilaza kabisa, unaamini wewe una taarifa sahihi kuhusu chanjo kuliko wanajeshi wa marekani walio jikoni!?.. kama una ndugu Ni mwanajeshi wa bongo muulize msimamo wa jeshi letu kuhusu chanjo.. na mama Samia anajua.. Mkuu nakuhakikishia kwa 100% mwisho wa siku wewe ndo utajiona mburula. Una taarifa hiyo batch ya J&J mliyochomwa hapa bongo baadhi ya nchi ulaya hawaitambui!?.., unajua hizo J&J zilizoletwa hata zimetengenezwa tarehe 7/5/''21 na zilikuwa na expired date ya miezi mitatu hadi 7/8/''21 na ni CDC waliopendekeza kinyemela ziongezwe ziwe na miezi 6 hadi November mwaka huu. Na hii ni December ila ukienda Sasa hivi ukataka kuchomwa J&J bado utakubaliwa na utachomwa tu. Mmekaa humu kutetea ujinga kisa wewe na ukoo wenu unaofata mkumbo wa wazungu mmechanjwa chanjo za majaribio. Nimekuuliza swali, zaidi ya watanzania 98% ambao hatujachanjwa na tunaendelea kudunda tangu 2019 December tunaishije!?.. Swali la pili..Israel waliochanja zaidi ya 75% mbona ugonjwa umewazidia na wengi wao wanaokufa walishachanjwa!?.. NB: Fuatilia habari zotezote usifatilie habari unazopenda kusikia tu.
 
Wazungu hata kama tunawachukia lakini wao sio wajinga kiasi hicho eti watoe chanjo ambayo hawana uhakika nayo tena wanawapa na RAIA wao, nakataa never on earth hawawezi wakafanya ujinga huo !!
Endelea kukataa.
Unadhani maandamano yaliyokuwa yanafanyika huko kwao yalikuwa ni ya kuwapongeza watoa chanjo?
 
Kuna mijitu mingine mijinga sana. Anajiona ana uelewa mpana kuliko hata manesi na madaktari kibao wa marekani waliogomea chanjo, kibao. Hata kwenye European Union kuna maelfu ya madaktari wamezikataa chanjo, hajiulizi ni kwanini!?
 
Wewe ndo kilaza kabisa, unaamini wewe una taarifa sahihi kuhusu chanjo kuliko wanajeshi wa marekani walio jikoni!?.. kama una ndugu Ni mwanajeshi wa bongo muulize msimamo wa jeshi letu kuhusu chanjo.. na mama Samia anajua.. Mkuu nakuhakikishia kwa 100% mwisho wa siku wewe ndo utajiona mburula. Una taarifa hiyo batch ya J&J mliyochomwa hapa bongo baadhi ya nchi ulaya hawaitambui!?.., unajua hizo J&J zilizoletwa hata zimetengenezwa tarehe 7/5/''21 na zilikuwa na expired date ya miezi mitatu hadi 7/8/''21 na ni CDC waliopendekeza kinyemela ziongezwe ziwe na miezi 6 hadi November mwaka huu. Na hii ni December ila ukienda Sasa hivi ukataka kuchomwa J&J bado utakubaliwa na utachomwa tu. Mmekaa humu kutetea ujinga kisa wewe na ukoo wenu unaofata mkumbo wa wazungu mmechanjwa chanjo za majaribio. Nimekuuliza swali, zaidi ya watanzania 98% ambao hatujachanjwa na tunaendelea kudunda tangu 2019 December tunaishije!?.. Swali la pili..Israel waliochanja zaidi ya 75% mbona ugonjwa umewazidia na wengi wao wanaokufa walishachanjwa!?.. NB: Fuatilia habari zotezote usifatilie habari unazopenda kusikia tu.
Ninyi mnaodunda mkuu ni vijana MNA nguvu mko fit lakini wazee na wenye magonjwa sugu ndio wahanga wa huu ugonjwa !!
 
Watu watoe ushuhuda huku,si ni ndugu zetu waliochanjwa?
Acheni blah blah toeni ushahidi wa kisayansi, mwenzenu Gwajima askofu alishindwa kutoa ushahidi wa kisayansi mpaka Leo ametulia TULIIII !!
 
Ninyi mnaodunda mkuu ni vijana MNA nguvu mko fit lakini wazee na wenye magonjwa sugu ndio wahanga wa huu ugonjwa !!
Mkuu ni mentality tu. Ukifuatilia hata hapa bongo watu waliokufa ndani ya wiki 1 au 2 baada ya kupewa chanjo %kubwa ni wazee na hii ni karibu dunia nzima. Kumbuka chanjo ni virusi vilivyopunguzwa nguvu + mengine tusiyoyajua. Ukitaka kuamini angalia wazee wa uswahilini na hali ya chini karibu nchi nzima, hawajachanjwa,hawavai barakoa na wanadunda ila linganisha na wazee wasomi wasomi walivyopukutishwa na COVID na chanjo zenyewe sababu ya kujifanya wanawasikiliza sana hao WHO.
 
Acheni blah blah toeni ushahidi wa kisayansi, mwenzenu Gwajima askofu alishindwa kutoa ushahidi wa kisayansi mpaka Leo ametulia TULIIII !!
Gwajima sio kazi yake kutoa ushaahidi wa kisayansi. Hana maabara ya kuwapeleka watanzania akawathibitishie kuwa chanjo sio salama.

Alicho kifanya ni kuwafumbua macho ili kwa wale waliokuwa hawaelewi chochote wakiamua kuchanja basi watambue wanajiingiza kwenye nini. Na hapo nadhani ameitendea haki nafasi yake kama mtanzania na pia kama kiongozi wa dini.

Kutafuta ushahidi wa kisayansi ni kazi yako baada ya kusikia hayo yanayo lalamikiwa ili ujirizishe na uchukue maamuzi. Siku hizi taarifa unayoitaka ipo mkononi mwako ndani ya dakika chache.
 
Hujanipata,angalia alichosema na ulinganishe na jibu langu!
Kuwa na mazoea ya kufuatilia mtiririko wa hoja kwenye thread kabla hujamqoute mtu!
 
Gwajima sio kazi yake kutoa ushaahidi wa kisayansi. Hana maabara ya kuwapeleka watanzania akawathibitishie kuwa chanjo sio salama.

Alicho kifanya ni kuwafumbua macho ili kwa wale waliokuwa hawaelewi chochote wakiamua kuchanja basi watambue wanajiingiza kwenye nini. Na hapo nadhani ameitendea haki nafasi yake kama mtanzania na pia kama kiongozi wa dini.

Kutafuta ushahidi wa kisayansi ni kazi yako baada ya kusikia hayo yanayo lalamikiwa ili ujirizishe na uchukue maamuzi. Siku hizi taarifa unayoitaka ipo mkononi mwako ndani ya dakika chache.
Ndio maana nakufahamisha haya kwa sababu nimeshafanya utafiti wa kutosha na nimejiridhisha kuwa chanjo haina madhara kabisa, isipokuwa kwa baadhi ya watu wachache sana ambao wanaweza kupata side effect kidogo tu
 
Sawa, kila mmoja ashinde mechi zake.
 
Taasisi ya kudhibiti magonjwa ya Marekani, CDC imeshauri watu kupata chanjo za Pfizer ama Moderna kuliko J&J.

CDC imefikia uamuzi huo baada ya kushauriwa na wataalamu wa afya kwamba hizo chanjo ni salama zaidi kuliko J&J.

Sababu kubwa ya kupendekeza hivyo ni kwamba J&J inasababisha matatizo ya kuganda kwa damu kwenye ubongo hivyo watu waiepuke kadri inavyowezekana.

CDC wamesema kama mtu atataka mwenyewe kwa sababu zake mwenyewe chanjo ya J&J basi apewe ila zaidi watu watumie hizo chanjo mbili za Moderna na Pfizer.

Pfizer na Moderna wapo kwenye vita kubwa ya kuchumi na JANSSEN (J&J)

WHO wametoka kuipitia juzi hapa huiyo J&J na kuikubali kabisa iendelee kutumika . soma hap: Interim recommendations for the use of the Janssen Ad26.COV2.S (COVID-19) vaccine
 
Back
Top Bottom