Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,015
- 10,269
Kwani chama kikuu cha UPINZANI kinasemaje? Lipo TAMKO?
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hayo madhara wanayosema yanayoweza kutokea ni ndani ya wiki mbili tu tangu ulipochanjwa sio zaidi ya hapo, ndio maana nasema hizo ni fake news tu !!Wanatutisha aiseee
Sio wenye bahati mbaya ila ni kawaida kwa watu kufa kwa magonjwa, hakuna ugonjw usioua ila kwanini korona inaimbwa sanaHizi chanjo huko tunakoelekea naona zitafeli zote, mara waseme inahitajika booster, mara hiyo J & J tuliyoifakamia mwanzoni waseme inasababisha damu kuganda kwenye ubongo, nani ataziamini hizo zilizobaki?
Dalili zote zinaonesha Corona tutaishi nayo na maisha yataendelea, wenye bahati mbaya ndio watakaokufa.
Kachanje wewe. Data zako kaa nazoLakini statits ni hivi. Hakuna uhakika wa 100% damu kuganda wote 50 ni kwasababu ya chanjo. Hivyo bado data za vifo ni ndogo sana
1. Waliochanjwa marekani 15 M
2. Damu kuganda 50
3. Vifo 9
Yupo wapi yule mjambiani na kijambi* chakeTaasisi ya kudhibiti magonjwa ya Marekani, CDC imeshauri watu kupata chanjo za Pfizer ama Moderna kuliko J&J.
CDC imefikia uamuzi huo baada ya kushauriwa na wataalamu wa afya kwamba hizo chanjo ni salama zaidi kuliko J&J.
Sababu kubwa ya kupendekeza hivyo ni kwamba J&J inasababisha matatizo ya kuganda kwa damu kwenye ubongo hivyo watu waiepuke kadri inavyowezekana.
CDC wamesema kama mtu atataka mwenyewe kwa sababu zake mwenyewe chanjo ya J&J basi apewe ila zaidi watu watumie hizo chanjo mbili za Moderna na Pfizer.
![]()
Everything to know about Johnson & Johnson's COVID vaccine
A booster shot means a second shot for those who got J&J, but people living in San Francisco can get a third.www.cnet.com
And fake news brought to you by Pfizer !!Pfizer ni kama GSM anataka kukabankila kona😆
View attachment 2049128
Unaizungumzia katavi ipi? Njoo kesho hospital hapa nikupeleke kwa wagonjwa wa uvikoWatu watapigwa booster mpk akili ziwakae sawa,wakija kushtuka baadhi ya viungo vya asili havifanyi kazi tena,wote wanageuka kua wanawake tu.
hio corona mnayoiimba kila siku sisi huku katavi hatujui hataa ni nini? Cjui virus vya Omicron,mara kirusi cha mega hatujui, nyie huko mnaojifanya mmeendelea chanjeni tu.
Sisi tunaendelea na kilimo cha mihogo na matikiti huku, tunaijenga katavi yetu,ingawaje mnatubania kwenye pembejeo ila tutatoboa tu.
Hao wagonjwa ambao wanaumwa magonjwa mengine alafu nyie mnawageuza eti ni uviko ili kutengeneza takwimu,mtaani hakuna hicho kitu kabisa na wala raia hatujui kama kuna huo ugonjwa.Unaizungumzia katavi ipi? Njoo kesho hospital hapa nikupeleke kwa wagonjwa wa uviko
Wapo mkuu, mimi nawajua kama wawili walikua vizuri, ila ndani ya wiki tuu baada ya kuchanja wakaondokaSisi wengine huwa hatuamini kila habari ya mitandaoni maana nyingi ni fake news, umemsikia nani aliyechanjwa hapa Tanzania ameganda damu ??? Acheni kutisha watu, Mimi nasubiri ije na booster jab nikachanje tena,
Endelea kujipa moyo ,Kama ulichanja j&j andaa akili,mwili na roho yako
Unasoma sources za habari, sio kila habari ya mtandaoni ni fake news.Sisi wengine huwa hatuamini kila habari ya mitandaoni maana nyingi ni fake news, umemsikia nani aliyechanjwa hapa Tanzania ameganda damu ??? Acheni kutisha watu, Mimi nasubiri ije na booster jab nikachanje tena,
Hapo sasa !! Ndio maana huwa naamini habari nyingi sana hivi sasa ni fake news !! Kumbe huyo hata Hospital ya Katavi hajafika !! Duh ! Hatari kabisa !Unaizungumzia katavi ipi? Njoo kesho hospital hapa nikupeleke kwa wagonjwa wa uviko
Nasoma sourse za habari nyingi sana na nnafanya observations sana tu ndio maana naamini chanjo hizi hazina madhara makubwa kama wanavyodai wenye kueneza fake news !!Uwe
Unasoma sources za habari, sio kila habari ya mtandaoni ni fake news.
Hii sio fake news, jiandae kuganda ubongo.
Waliotengeneza chanjo washasema haifai wewe unajifariji eti fake news, tulia subiri tu damu igande.
Mkuu, umenigusa, hata mimi nimeifeel hiyo hali sana. Na baadhi ya project zangu haziendi vizuri !Ndio maana nimekuwa slow sana kufanya maamuzi baada ya kuchoma J&J
Duh kwa hiyo wanatusaidiaje.... Maana sisi tunawategemea wao... Wasitufanyie hivyo
Huu ndio unyama sasa