Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Kwahiyo hao watu wamepata hayo matatizo!Sasa ikiwa kwa Rais,Makamu na Waziri mkuu huoni siyo rare tena?
Naomba uthibitisho,kwenye watu mil 1 waliochanjwa ni wangapi wamepata hayo matatizo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo hao watu wamepata hayo matatizo!Sasa ikiwa kwa Rais,Makamu na Waziri mkuu huoni siyo rare tena?
Mkuu, hapo tu kusema watu wasi opt sana ndio kuna shida, kwa nini waseme watu wasi opt?Fungua link usome,usiishie kusoma maneno ya mleta mada ambayo yeye ndiye ametafsiri!
Ingekuwa hivyo unavyoamini basi wangeshauri watu wasichanje kabisa hiyo J&J!
Ila wamesema watu wasi-opt sana!
Tunabishana kuhusu rare casesKwahiyo hao watu wamepata hayo matatizo!
Naomba uthibitisho,kwenye watu mil 1 waliochanjwa ni wangapi wamepata hayo matatizo!
Tangu mwanzo wa corona walishasema kwamba asilimia 80 ya watakao ipata corona watapona bila kujua kama waliugua corona, na katika asilimia 20 iliyobaki asilimia 15 watatibiwa na watapona ila wale asilimia 5 ndo wanaweza wakawa mahututi na baadhi yao wakafa , na hasa hasa watakaokuwa na magonjwa mengine sugu. That's it !Hizi chanjo huko tunakoelekea naona zitafeli zote, mara waseme inahitajika booster, mara hiyo J & J tuliyoifakamia mwanzoni waseme inasababisha damu kuganda kwenye ubongo, nani ataziamini hizo zilizobaki?
Dalili zote zinaonesha Corona tutaishi nayo na maisha yataendelea, wenye bahati mbaya ndio watakaokufa.
Endelea kujipa moyo ,Kama ulichanja j&j andaa akili,mwili na roho yakoLakini statits ni hivi. Hakuna uhakika wa 100% damu kuganda wote 50 ni kwasababu ya chanjo. Hivyo bado data za vifo ni ndogo sana
1. Waliochanjwa marekani 15 M
2. Damu kuganda 50
3. Vifo 9
Yalisemwa sana na watu na mukawabeza Hadi kufikia kutunishiana misuri,Sasa yamewafika wapi na Johnson yenu?mumewasababishia watu magonjwa ya ajabu
Sio kweli, asilimia ya wale wanaoweza kuganda damu ni wachache sana tena sana, musiwatishe watu,
Wewe ndugu unajidanganya kwamba IPO dawa hapa duniani ambayo haina side effect ??, jibu ni kwamba dawa zote zina side effect bandugu nendeni mkachanje !Endelea kujipa moyo ,Kama ulichanja j&j andaa akili,mwili na roho yako
Walichanjwa wote ni MAFALA, we unajazishwa fomu kuwa serikali haitahusika na yatakayokukuta na unasaini na kupigwa chanjo!??.. mmepigiwa sana kelele bado mkajifanya wabishi.. Sasa endeleeni kutega sikioKwa hiyo tuliochanja je inakuaje kuaje damu ikiganda nan anawajibika
Kashawishi ukoo wako wote mkachanjwe chanjo za majaribio, wengine tulishasema toka mwanzo hata utuwekee bunduki shingoni hatuchanji ng'oooWewe ndugu unajidanganya kwamba IPO dawa hapa duniani ambayo haina side effect ??, jibu ni kwamba dawa zote zina side effect bandugu nendeni mkachanje !
Duh natoa wosia sasa tukifa waliokua wanashadadia wawajibike.Walichanjwa wote ni MAFALA, we unajazishwa fomu kuwa serikali haitahusika na yatakayokukuta na unasaini na kupigwa chanjo!??.. mmepigiwa sana kelele bado mkajifanya wabishi.. Sasa endeleeni kutega sikio
Sisi wengine huwa hatuamini kila habari ya mitandaoni maana nyingi ni fake news, umemsikia nani aliyechanjwa hapa Tanzania ameganda damu ??? Acheni kutisha watu, Mimi nasubiri ije na booster jab nikachanje tena,Walichanjwa wote ni MAFALA, we unajazishwa fomu kuwa serikali haitahusika na yatakayokukuta na unasaini na kupigwa chanjo!??.. mmepigiwa sana kelele bado mkajifanya wabishi.. Sasa endeleeni kutega sikio
Wengi tumesimamia hapo Mkuu, wanaohitaji kuchanjwa waendelee tu.Tangu mwanzo wa corona walishasema kwamba asilimia 80 ya watakao ipata corona watapona bila kujua kama waliugua corona, na katika asilimia 20 iliyobaki asilimia 15 watatibiwa na watapona ila wale asilimia 5 ndo wanaweza wakawa mahututi na baadhi yao wakafa , na hasa hasa watakaokuwa na magonjwa mengine sugu. That's it !
Mlikuwa kila siku mnamtukana magu kwamba kwanini haleti chanjo, haya michanjo ndio hiyo sasa na mwenyekiti wenu akisema iwe lazima!Baada ya muda na hizo zingine watasema nazo hazifai.
Hizo ni fake news !! Chanjo hizo madhara yake ni madogo sana tena sana ukilinganisha na faida zake !Duh natoa wosia sasa tukifa waliokua wanashadadia wawajibike.
Wanatutisha aiseeeHizo ni fake news !! Chanjo hizo madhara yake ni madogo sana tena sana ukilinganisha na faida zake !