#COVID19 CDC imeshauri watu kuachana na chanjo ya J&J kwani inasababisha kuganda kwa damu kwenye ubongo, watumie Moderna ama Pfizer

#COVID19 CDC imeshauri watu kuachana na chanjo ya J&J kwani inasababisha kuganda kwa damu kwenye ubongo, watumie Moderna ama Pfizer

Lakini statits ni hivi. Hakuna uhakika wa 100% damu kuganda wote 50 ni kwasababu ya chanjo. Hivyo bado data za vifo ni ndogo sana

1. Waliochanjwa marekani 15 M
2. Damu kuganda 50
3. Vifo 9
Hao waliotuaminisha mwanzo kwa statistics kuwa J&J ni salama ndio sasa wanatuaminisha Tena kuwa sio salama. Akili kichwani.
 
Hao waliotuaminisha mwanzo kwa statistics kuwa J&J ni salama ndio sasa wanatuaminisha Tena kuwa sio salama. Akili kichwani.

Hakuna dawa ambayo ni 100%

Kwa waliopiga chanjo Damu imeganda kwa 0.00033% na waliokufa ni 0.00006% hapo weka akili zako. Hapo maana yake ni kwamba wenzetu wana dawa nyingi lakini statistics za hivi ni kwamba hizo zimezidi dawa nyingine nyingi. Kwa chance hizo ni bora sana maana chance ya kupata na kufa bila kupiga chanjo ni zaidi. Hivyo unavyo fikiri kutochanja ni bora kawaulize ikulu ya awamu ya tano wakuambie yalitokea lini
 
Hapo sasa !! Ndio maana huwa naamini habari nyingi sana hivi sasa ni fake news !! Kumbe huyo hata Hospital ya Katavi hajafika !! Duh ! Hatari kabisa !
Yani wewe unashangilia kitu ilimradi kina favor upande wako. Unajuaje kama hiyo ya katavi ni habari ya kuaminika?

Ukweli ni kwamba ukiona mpaka wamefikia kutoa taarifa kama hiyo ambayo inapingana na walicho kipigia debe ujue hali sio nzuri.
 
Hizo chanjo bado zipo kwenye majaribio, kwahiyo tegemeeni kusikia taarifa mpya siku baada ya siku.
 
Hizo chanjo bado zipo kwenye majaribio, kwahiyo tegemeeni kusikia taarifa mpya siku baada ya siku.
Wazungu hata kama tunawachukia lakini wao sio wajinga kiasi hicho eti watoe chanjo ambayo hawana uhakika nayo tena wanawapa na RAIA wao, nakataa never on earth hawawezi wakafanya ujinga huo !!
 
Oohooo......Sasa Mimi mbona ndo nimechanja JJ Leo siku ya 4!?
 
Oohooo......Sasa Mimi mbona ndo nimechanja JJ Leo siku ya 4!?
Wala usiwe na wasiwasi hakuna shida yeyote, Mimi nimechanja na ndugu zangu wengi tu wamechanja tena wa umri tofauti tangu ilipoingia hiyo chanjo hakuna shida yeyote tuliyopata wala kusikia tatizo lolote kutoka kwa watu wengine waliochanja, MTU anaweza akafa kwa matatizo mengine lakini watu wakazusha eti kafa kwa sababu ya chanjo, USIAMINI FAKE NEWS ! WANASEMAGA LIES SPREAD FASTER THAN THE TRUTH !!
 
Taasisi ya kudhibiti magonjwa ya Marekani, CDC imeshauri watu kupata chanjo za Pfizer ama Moderna kuliko J&J.

CDC imefikia uamuzi huo baada ya kushauriwa na wataalamu wa afya kwamba hizo chanjo ni salama zaidi kuliko J&J.

Sababu kubwa ya kupendekeza hivyo ni kwamba J&J inasababisha matatizo ya kuganda kwa damu kwenye ubongo hivyo watu waiepuke kadri inavyowezekana.

CDC wamesema kama mtu atataka mwenyewe kwa sababu zake mwenyewe chanjo ya J&J basi apewe ila zaidi watu watumie hizo chanjo mbili za Moderna na Pfizer.

Haya mambo yalikuwepo na wala si mapya. Chanjo iliruhusiwa na haya yakiwa yanafahamika. Kilichotolewa ni preference/uchaguzi/upendeleo kulingana na uwepo wa chanjo nyingi kwa sasa Marekani kulingana na hapo mwanzo supply ya chanjo ilikuwa ndogo.

Kama ingelikuwa ni shida kama inavyoshadadiwa basi ingeondolewa sokoni. Na haitakuwa dawa ya kwanza kuondolewa sokoni. Tatizo ni siasa kuingizwa kwenye science bila kujua jinsi mambo yanavyoendeshwa siku zote.

Soma history of drugs withdrawn from the market na usome what is the reason for post market surveillance. Mnawapa wtu mihemuko bila sababu za msingi.
20211219_065244.png

Masuala ya dawa kusababisha kuganda damu kama side effects yapo siku nyigi na nyingine unakunywa kimya kimya na wakati mwingine huitaji kunywa dawa ili kusababisha tatizo la damu kuganda.

Jisomee haya mambo hapa chini yalivyo na mchango wa kusababisha damu kuganda:

1: Unaposafiri kwenye ndege
2: Unapopata ajali na kuvunjika mfupa
3: Unapopata tatizo la presha/BP
4: Unapokuwa na tatizo la sukari/DM
5: Unapoumwa la kulala kitandani muda mrefu
6: Unapofanyiwa upasuaji wowote
7: Matumizi ya dawa za uzazi wa mpango
8: Matumizi ya dawa za maumivu
9:...........................👇

Tumekuwa na matatizo haya kabla ya chanjo ya J&J:
1: DVT
3: Ischemic CVA
3: Heart attack
Na yote ni issue ya damu kuganda.

Lakini, ukilinganisha asilimia ya ugandaji wa damu kwa mtu anaepata Covid na yule aliyepata chanjo ya J&J ni insignificant/haileti maana kuzuia hivyo chanjo.

Kisayansi bado hili dai halina mashiko labda kwa ANTI VACCINE GROUPS HUU NI MTAJI.
 
Wala usiwe na wasiwasi hakuna shida yeyote, Mimi nimechanja na ndugu zangu wengi tu wamechanja tena wa umri tofauti tangu ilipoingia hiyo chanjo hakuna shida yeyote tuliyopata wala kusikia tatizo lolote kutoka kwa watu wengine waliochanja, MTU anaweza akafa kwa matatizo mengine lakini watu wakazusha eti kafa kwa sababu ya chanjo, USIAMINI FAKE NEWS ! WANASEMAGA LIES SPREAD FASTER THAN THE TRUTH !!
Shukrani!
Siku nimetoka Kuchanja, nikawahi kurudi nyumbani....

Nikaanza kusubiri kuumwa kichwa, mapigo ya moyo kwenda mbio, Uchovu Kama ambavyo nilisoma post kadhaa za watu waliosema wamechanja..,

But Sikusikia kichwa kuuma, Wala Uchovu, sikuhisi shida yoyote mpaka sasa!
 
Covid-19 imetuonyesha uwezo na mifumo yetu duniani ya kupambana na magonjwa bado ni mdogo mno..
 
Haya mambo yalikuwepo na wala si mapya. Chanjo iliruhusiwa na haya yakiwa yanafahamika. Kilichotolewa ni preference/uchaguzi/upendeleo kulingana na uwepo wa chanjo nyingi kwa sasa Marekani kulingana na hapo mwanzo supply ya chanjo ilikuwa ndogo.

Kama ingelikuwa ni shida kama inavyoshadadiwa basi ingeondolewa sokoni. Na haitakuwa dawa ya kwanza kuondolewa sokoni. Tatizo ni siasa kuingizwa kwenye science bila kujua jinsi mambo yanavyoendeshwa siku zote.

Soma history of drugs withdrawn from the market na usome what is the reason for post market surveillance. Mnawapa wtu mihemuko bila sababu za msingi.
View attachment 2049318

Masuala ya dawa kusababisha kuganda damu kama side effects yapo siku nyigi na nyingine unakunywa kimya kimya na wakati mwingine huitaji kunywa dawa ili kusababisha tatizo la damu kuganda.

Jisomee haya mambo hapa chini yalivyo na mchango wa kusababisha damu kuganda:

1: Unaposafiri kwenye ndege
2: Unapopata ajali na kuvunjika mfupa
3: Unapopata tatizo la presha/BP
4: Unapokuwa na tatizo la sukari/DM
5: Unapoumwa la kulala kitandani muda mrefu
6: Unapofanyiwa upasuaji wowote
7: Matumizi ya dawa za uzazi wa mpango
8: Matumizi ya dawa za maumivu
9:...........................👇
Acha uongo hakujawahi kua na supply ndogo ya chanjo Marekani, wadanganye watu wengine huko wajinga.
 
Acha uongo hakujawahi kua na supply ndogo ya chanjo Marekani, wadanganye watu wengine huko wajinga.

Nenda kasome statment ya CDC inasemaje, acha kukurupuka na maneno ya Anti vaccines groups.

Kwa hiyo unafikiri Marekani ni miungu, kuwa walipogundua chanjo zikawa zimezaliana na kujaza vaccine supply chain yao kwa kuzingatia mahitaji yao. Unajua kwa nini walianza na risk groups na sio kila mtu kuchanja?

Soma hayo maneno uelewe, uniulize swali lako:

👇

Today, CDC is endorsing updated recommendations made by the Advisory Committee on Immunization Practices (ACIP) for the prevention of COVID-19, expressing a clinical preference for individuals to receive an mRNA COVID-19 vaccine over Johnson & Johnson’s COVID-19 vaccine. ACIP’s unanimous recommendation followed a robust discussion of the latest evidence on vaccine effectiveness, vaccine safety and rare adverse events, and consideration of the U.S. vaccine supply. The U.S. supply of mRNA vaccines is abundant – with nearly 100 million doses in the field for immediate use. This updated CDC recommendation follows similar recommendations from other countries, including Canada and the United Kingdom. Given the current state of the pandemic both here and around the world, the ACIP reaffirmed that receiving any vaccine is better than being unvaccinated. Individuals who are unable or unwilling to receive an mRNA vaccine will continue to have access to Johnson & Johnson’s COVID-19 vaccine.

The following is attributable to CDC Director, Dr. Rochelle Walensky

“We have made important strides in the year since the COVID-19 vaccination program started. More than 200 million Americans have completed their primary vaccine series, providing protection against COVID-19, preventing millions of cases and hospitalizations, and saving over a million lives. Today’s updated recommendation emphasizes CDC’s commitment to provide real-time scientific information to the American public. I continue to encourage all Americans to get vaccinated and boosted.”

###
U.S. DEPARTMENT OF HEALTH AND HUMAN SERVICESexternal icon

CDC works 24/7 protecting America’s health, safety and security. Whether disease start at home or abroad, are curable or preventable, chronic or acute, or from human activity or deliberate attack, CDC responds to America’s most pressing health threats. CDC is headquartered in Atlanta and has experts located throughout the United States and the world.

Page last reviewed: December 16, 2021
home
Newsroom Home
Press Materials
plus icon
CDC Newsroom Releases
plus icon
2021 News Releases
2020 News Releases
2019 News Releases
2018 News Releases
Historical News Releases
CDC Endorses ACIP’s Updated COVID-19 Vaccine Recommendations
Journal Summaries
plus icon
Digital Media
plus icon
Contact Media Relations
plus icon
Get Email Updates
To receive email updates about this page, enter your email address:

Email Address
Email Address
What's this?

Connect with CDC Media
rss Subscribe to RSS Feeds
govd Subscribe to email
syndication Syndicate on Your Site
CDC Quick Links
Data & Statistics
Freedom of Information Act Office
Public Health Image Library (PHIL)
CDC 24/7 – Saving Lives. Protecting People. Saving Money Through Prevention. Learn More About How CDC Works For You…

CONTACT CDC
ABOUT CDC
POLICIES
Facebook
Twitter
Instagram
LinkedIn
Snapchat
Youtube
Syndicate
CDC TV
RSS
Email
U.S. Department of Health & Human Services
USA.gov
CDC Website Exit Disclaimer external icon
Facebook
Twitter
LinkedIn
 
Shukrani!
Siku nimetoka Kuchanja, nikawahi kurudi nyumbani....

Nikaanza kusubiri kuumwa kichwa, mapigo ya moyo kwenda mbio, Uchovu Kama ambavyo nilisoma post kadhaa za watu waliosema wamechanja..,

But Sikusikia kichwa kuuma, Wala Uchovu, sikuhisi shida yoyote mpaka sasa!
Hiyo uliyo choma ni feki au imeexpire maana chanjo nyingi zili expire kabla ya wakati kwa sababu ya matunzo yake
 
Lakini statits ni hivi. Hakuna uhakika wa 100% damu kuganda wote 50 ni kwasababu ya chanjo. Hivyo bado data za vifo ni ndogo sana

1. Waliochanjwa marekani 15 M
2. Damu kuganda 50
3. Vifo 9
Sio kweli takwimu zako
Waliochanjwa Kwa J&J ni 7m
Walionyesha kudhuruwa Kwa kuganda damu ni 5079
Kati ya hao 98 wameng'oa
Waliobaki hapo wameachwa na magonjwa ya yatakayowaua polepole hakuna haraka
 
Tunabishana kuhusu rare cases
In due time,utaelewa maana ya rare cases!
Yaani 1 ina a thousand kwenye utabibu ni success!
Lakini lazima upewe Hilo angalizo,just inacase....
 
Sisi wengine huwa hatuamini kila habari ya mitandaoni maana nyingi ni fake news, umemsikia nani aliyechanjwa hapa Tanzania ameganda damu ??? Acheni kutisha watu, Mimi nasubiri ije na booster jab nikachanje tena,
Kuna Bibi Ana betri kwenye moyo wake, tangu amechomwa chanjo ya JJ. Anaisi kidonda kwenye moyo wake na maumivu pia.
 
Back
Top Bottom