Roboti la Matope
Member
- Oct 27, 2021
- 63
- 25
ππππππππMashaka mnayatoa wapi wakati mwanzo mlikuwa mnamshambulia mwenda zake?
Kuleni busta mpaka akili ziwakae sawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππππππMashaka mnayatoa wapi wakati mwanzo mlikuwa mnamshambulia mwenda zake?
Kuleni busta mpaka akili ziwakae sawa.
ππππππππNdio maana nimekuwa slow sana kufanya maamuzi baada ya kuchoma J&J
Duh kwa hiyo wanatusaidiaje.... Maana sisi tunawategemea wao... Wasitufanyie hivyo
Huu ndio unyama sasa
Ndio hiyo aliyochanjwa samia?!Kumekucha
Mabeberu Yanatuvuruga
Sasa mkuu ninyi kama wapinzani mnatoa tamko gani?Baada ya muda na hizo zingine watasema nazo hazifai.
Kwa lipi?Rare but dangerous blood clotting!
Tusikuze mambo!!!!!!!
Ukweli ni kuwa nyingi ya hizi chanjo bado zipo kwenye hatua ya majaribio ingawa hawaweki wazi.Baada ya muda na hizo zingine watasema nazo hazifai.
Huu uzi umekuja siku nzuri.... somebody tag Bishop Gwajima pls hahahahaTaasisi ya kudhibiti magonjwa ya Marekani, CDC imeshauri watu kupata chanjo za Pfizer ama Moderna kuliko J&J.
CDC imefikia uamuzi huo baada ya kushauriwa na wataalamu wa afya kwamba hizo chanjo ni salama zaidi kuliko J&J.
Sababu kubwa ya kupendekeza hivyo ni kwamba J&J inasababisha matatizo ya kuganda kwa damu kwenye ubongo hivyo watu waiepuke kadri inavyowezekana.
CDC wamesema kama mtu atataka mwenyewe kwa sababu zake mwenyewe chanjo ya J&J basi apewe ila zaidi watu watumie hizo chanjo mbili za Moderna na Pfizer.
![]()
Everything to know about Johnson & Johnson's COVID vaccine
A booster shot means a second shot for those who got J&J, but people living in San Francisco can get a third.www.cnet.com
Mkuu watengeneza chanjo wenyewe wamekwambia inasababisha damu ya kwenye ubongo kuganda, unataka kubishana nao, unajua walichoweka ndani ya hiyo chanjo?Rare but dangerous blood clotting!
Tusikuze mambo!!!!!!!
Unaelewa maana ya rare cases?Kwa lipi?
Unaelewa kilichoandikwa hapo?
Sasa ikiwa kwa Rais,Makamu na Waziri mkuu huoni siyo rare tena?Unaelewa maana ya rare cases?
Umeandika kwa uchungu sanaπ.Ndio maana nimekuwa slow sana kufanya maamuzi baada ya kuchoma J&J
Duh kwa hiyo wanatusaidiaje.... Maana sisi tunawategemea wao... Wasitufanyie hivyo
Huu ndio unyama sasa
Fungua link usome,usiishie kusoma maneno ya mleta mada ambayo yeye ndiye ametafsiri!Mkuu watengeneza chanjo wamekwmabia inasababisha damu ya kwenye ubongo kuganda, unataka kubishana nao, unajua walichoweka ndani ya hiyo chanjo?
Damu isipoganda leo ipo siku itaganda maana dawa si bado iko kwenye damu za watu? Tusubiri tuone.