Pole kwa wafiwa, huenda alikuwa ana matatizo mengine sio chanjoUtafiti gani wewe mtanzania wa mabwepande umefanya,hata kutengeneza barakoa umeshindwa Leo hii ujifanye mtaalamu wa kuchunguza vilivyotenezwa na mabeberu,
Huku kijijini kwangu hivi karibuni Kuna mwalimu kastaafu na kupewa mafao yake,ili ayale vizuri akaenda kuchanja J&J,Leo hii warithi wake wanayafaidi huku yeye tumesha mwimbia barapanda litalia
Endelea na utafiti wako
Sina hofu kabisa, hapa nasubiri wakisema tuongeze booster nitakwenda haraka sana maana sina wasiwasi kabisaWewe subiri ,sijui sayansi Wala kienyeji utazijua Mara baada ya kuanza kuona madhara ya hizi chanjo,my friend naona hofu imekujaa sana
Basi kaa hivyo hivyo,Haina haja ya kulazimisha Wala kushinikiza watu wachanje,wewe ukichanja tulia Haina haja ya sisi kujuaS
Sina hofu kabisa, hapa nasubiri wakisema tuongeze booster nitakwenda haraka sana maana sina wasiwasi kabisa
Mkuu nafikiri pia life style nayo inachangia, wa maofisini wanaishi soft life pamoja na lishe lot of burgers and pizzas ni shidaaaa !!Mkuu ni mentality tu. Ukifuatilia hata hapa bongo watu waliokufa ndani ya wiki 1 au 2 baada ya kupewa chanjo %kubwa ni wazee na hii ni karibu dunia nzima. Kumbuka chanjo ni virusi vilivyopunguzwa nguvu + mengine tusiyoyajua. Ukitaka kuamini angalia wazee wa uswahilini na hali ya chini karibu nchi nzima, hawajachanjwa,hawavai barakoa na wanadunda ila linganisha na wazee wasomi wasomi walivyopukutishwa na COVID na chanjo zenyewe sababu ya kujifanya wanawasikiliza sana hao WHO.
Ndiyo nikauliza,hiyo 1 ikiwa ni rais wa nchi.In due time,utaelewa maana ya rare cases!
Yaani 1 ina a thousand kwenye utabibu ni success!
Lakini lazima upewe Hilo angalizo,just inacase....