CDE Bakari Kazungu: CCM ukisema ukweli unaonekana wa ajabu

CDE Bakari Kazungu: CCM ukisema ukweli unaonekana wa ajabu

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Kada wa Chama cha Mapinduzi CDE Bakari Kazungu akifanya mahojiano na Jambo TV Februari 4, 2026 alisema kuwa kwa mujibu wa ahadi namba 8 ya CCM inayomtaka mwanachama kusema ukweli daima lakini kwa sasa ukisema ukweli unaonekana wa ajabu na kuwa na chembehembe za CHADEMA

" ahadi namba nane ambayo kila mwanaccm ameichukua hiyo ahadi kwamba nitasema kwel daima, fitina kwangu ni mwiko. Leo mwanaccm ukionekana unasema ukweli unaonekana wa ajabu, huki kitu kinaniuma sana na agenda ya kusema ukweli kuna baadhi ya wanaccm wameiuza kwa CHADEMA" Amesema CDE Bakari Kazungu



 
Watakubali ukweli waende jela?

Matako yao by Sugu
 
Huo ndio ukweli.
Hata kwa vyombo vya habari, JAMBO TV pekee ndio imebaki 'msema kweli'
Vyombo vingine vimemezwa.
Nao ni walewale Interview ya Father Kitima waliikatakata baadhi ya maojiano wakayaondoka
 
Msema kweli,Ndio Mkweli Kwa Mungu,Wajitokeze Makada Wengi wa Chama Katika Kusema Ukweli,Katika kujenga Nchi ya Tz, Sio Mambo ya Propaganda.
 
WAMEKUMBUKA neno utu ili mahakama ije na neno hatunania ya kuendelea na kesi

mana lisu kamaliza kazi yake
 
Wote ni wale wale na wametumwa kuongea kimkakati.. Alianza Nape sasa ni huyu .. The next sijui atakuwa nani?
Bado ametumwa?? Msipende kukariri maisha, ukiwa mpinzani haimanishi uwe unaswaruka na kushutumu bila kujua ukweli wa jambo husika.


#Hallelujah!!!
 
Back
Top Bottom