bakari kazungu

Kassim Bakari Mwamzandi was a Kenyan politician belonging to the Mijikenda ethnic group. He was KANU MP for the Msambweni Constituency from 1988 to 1997. He resided in Msambweni. Before entering politics at 23 years old, Mwamzandi served as a clerk in the African court. Serving in the regimes of Jomo Kenyatta and Daniel arap Moi, from 1975 he acted as an assistant minister in the Ministry of Foreign Affairs, the Energy Ministry, Water Development and then the Ministry of Public Works. He died on 21 December 2023.

View More On Wikipedia.org
  1. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Bakari Kazungu asimulia kutekwa, kuteswa na kuachana na siasa: “Nilijua naenda kufa”

    Agosti 4, 2026, kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bakari Kazungu, alitekwa na watu wasiojulikana jijini Tanga na baadaye kupatikana akiwa amepigwa na kuteswa vibaya. Kabla ya tukio hilo, Kazungu alikuwa akitumia mitandao ya kijamii kukosoa baadhi ya mwenendo ndani ya chama chake na kueleza...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM Kazungu atangaza kujiuzulu Siasa, akemea uchawa

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CDE Bakari Kazungu, ametangaza rasmi kujiuzulu na kujiepusha na siasa za kukitetea chama hicho katika mitandao ya kijamii. Kazungu, ambaye amekuwa mwanachama wa CCM tangu mwaka 2007 na kushika nafasi mbalimbali za uongozi katika ngazi ya kata, wilaya, na mkoa...
  3. Think2

    JamiiForums Tanzania Hatuko salama kama kada wa ccm naye kapigwa vibaya sana

    Kuna video inasambaa akimuonyesha kada wa ccm Bakari akiwa na majeraha makubwa mwilini inasemekana alitekwa na wasiojulikana amepigwa sana yaani hadi vidonda Kisa alimtetea nchimbi 😔 Soma Kada wa CCM, Bakari Kazungu, ambaye amekuwa akikemea uchawa, atekwa na kufanyiwa vitendo vya kikatili
  4. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM, Bakari Kazungu, ambaye amekuwa akikemea uchawa, atekwa na kufanyiwa vitendo vya kikatili

    Bakari Kazungu anadaiwa kutekwa na ‘watu wasiojulikana’ na kufanyiwa vitendo viovu. NOTE: Video imeondolewa ili kuondoa sehemu sensitive na kulinda utu wake Soma machache aliyowahi sema: 1) CDE Bakari Kazungu: CCM ukisema ukweli unaonekana wa ajabu 2) Bakari Kazungu: Acheni kuwasingizia Heche...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM: Mnanunua watu ili kutukana vyama vingine, hiyo ni dead propaganda

    CDE KAZUNGU BAKARI AMBAYE NI SPIKA WA WANANCHI NA KADA WA CCM AMESEMA, "MNANUNUA WATU ILI KUTUKANA VYAMA VINGINE HIYO NI DEAD PROPAGANDA".
  6. R

    JamiiForums Tanzania CDE Bakari Kazungu: CCM ukisema ukweli unaonekana wa ajabu

    Kada wa Chama cha Mapinduzi CDE Bakari Kazungu akifanya mahojiano na Jambo TV Februari 4, 2026 alisema kuwa kwa mujibu wa ahadi namba 8 ya CCM inayomtaka mwanachama kusema ukweli daima lakini kwa sasa ukisema ukweli unaonekana wa ajabu na kuwa na chembehembe za CHADEMA " ahadi namba nane ambayo...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Bakari Kazungu: Acheni kuwasingizia Heche na Mnyika kuhusu mauaji ya Ali Kibao

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka mkoani Tanga, Kazungu Bakari Kazungu, amewatolea uvivu vijana wanaojiita wanaharakati, Joseph Yona na Ahmed Kombo, kufuatia tuhuma zao nzito dhidi ya viongozi wa CHADEMA, akisema kuwa kauli zao hazikidhalilishi tu chama tawala bali pia zinaumiza familia...
Back
Top Bottom