Kada wa CCM: Mnanunua watu ili kutukana vyama vingine, hiyo ni dead propaganda

Kada wa CCM: Mnanunua watu ili kutukana vyama vingine, hiyo ni dead propaganda

MNANUNUA WATU ILI KUTUKANA VYAMA VINGINE HIYO NI DEAD PROPAGANDA
View attachment 3641908
unakuta chama cha siasa kina utajiri wa matusi matupu. Viongozi hadi wanachama wao ni kutukana na kuporomosha matusi tu.

Wakiambiwa wachangie pesa kwaajili ya matumizi ya kazi za chama chao, wanaingia mitini na kukiacha chama chao kinafedheheka mbele ya umma.

Sasa sijui wanadhani matusi ndio huendesha chama, na wanadhani kutukana au kuporomosha matusi ndio ujasiri au ushujaa?🤣

wafuata mkumbo bana dah!🐒
 
MNANUNUA WATU ILI KUTUKANA VYAMA VINGINE HIYO NI DEAD PROPAGANDA
View attachment 3641908
MTanzania kama huyu, nitaanzia wapi kumdharau kwa haya maneno anayoyasema hadharani?

Lakini, wakati huo huo, anasahau kabisa yooote yanayotokea ndani ya chama chake na kufaidi matunda ya uovu yanayofanywa na viongozi wake!

WaTanzania, tumekubali kwa hiari yetu kuwa watu tunaozungumza maneno ambayo hayaendani kabisa na matukio tunayoyaona na pengine kushiriki katika matukio tunayoyakataa hadharani.

SAWA.
Nampa sifa yake ya kuzungumza haya aliyosema hapa; pengine akipata wenzake wachache wa aina yake atasaidia kubadili hali mbovu kabisa iliyopo ndani ya chama chake.
 
unakuta chama cha siasa kina utajiri wa matusi matupu. Viongozi hadi wanachama wao ni kutukana na kuporomosha matusi tu.

Wakiambiwa wachangie pesa kwaajili ya matumizi ya kazi za chama chao, wanaingia mitini na kukuacha chama chao kinafedheheka mbele ya umma.

Sasa sijui wanadhani matusi ndio huendesha chama, na bila kutukana au kuporomosha matusi ndio ujasiri au ushujaa?🤣

wafuata mkumbo bana dah!🐒
Yoh yoh yoh yohhhhh mkata viuno teenaa
 
Awajumuona ndio anatema nyogo au yupo real?
 
Back
Top Bottom