Hatuko salama kama kada wa ccm naye kapigwa vibaya sana

Hatuko salama kama kada wa ccm naye kapigwa vibaya sana

Ameshambuliwa sababu haendani na mapigo wa ngoma ya Kizimkazi. Angekuwa anaendana na hayo mapigo, hadi muda amelishikilia buyu la asali analamba taratiiibu.
 
Yaani hapo sio CCM isipokuwa Kuna chama kingine ambacho kitakuja julikana baadae. ila kipo ndani ya ccm. Kwahiyo sio vema kuihukumu CCM yote labda mwashamba na Mzee nonsense wake wafafanue kilochomkuta kada mwenzao
 
Back
Top Bottom