Nao ni walewale Interview ya Father Kitima waliikatakata baadhi ya maojiano wakayaondokaHuo ndio ukweli.
Hata kwa vyombo vya habari, JAMBO TV pekee ndio imebaki 'msema kweli'
Vyombo vingine vimemezwa.
Wote ni wale wale na wametumwa kuongea kimkakati.. Alianza Nape sasa ni huyu .. The next sijui atakuwa nani?
Brother fungua PM kidogoWote ni wale wale na wametumwa kuongea kimkakati.. Alianza Nape sasa ni huyu .. The next sijui atakuwa nani?
Bado ametumwa?? Msipende kukariri maisha, ukiwa mpinzani haimanishi uwe unaswaruka na kushutumu bila kujua ukweli wa jambo husika.Wote ni wale wale na wametumwa kuongea kimkakati.. Alianza Nape sasa ni huyu .. The next sijui atakuwa nani?