CDF General Mkunda naomba Interview ya Mazoezi yafuatayo itumike kwa Vijana watakaoomba Ajira zenu Mpya JWTZ

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Na nakuomba CDF Jenerali Mkunda kama Waombaji Ajira Wote katika Tangazo lenu wakiyashindwa haya Mazoezi yafuatayo muachane nao na mbaki na wale tu Watakaoweza ( walio Fiti ) kabisa

1. Wakimbie kwa Kuuzunguka Uwanja wa Mkapa mara 75 kwa Spidi kama za Winga teleza wa Yanga SC Tuisila Kisinda.

2. Wao kwa Wao wazichape / wapigane Kavukavu na atakayempiga Mwenzake ndiyo achukuliwe.

3. Kila Mmoja apewe Chombo cha Chuma kilichowekwa Chakula cha Moto sana na wakile huku wakiwa Wamekishikilia na Wakitabasamu na siyo Kununa.

4. Kila Mmoja alazimishwe Kudidisha Mkuyenge / Mkurudungu wake tena Kiukakamavu ili kupima Urijali wao na msije mka recruit Askari Shoga kama ilivyokuwa kwa Marehemu Afande Mmoja namhifadhi Jina Kimaadili ( aliyekufa Kimaajabu Maajabu ) wa Lugalo Kambini ( kabla ya Kujengwa kwa haya Maghorofa ) na Mlango Mdogo Kawe.

5. Kila Muombaji aseme ana Kipaji gani na kama anaweza Kukionyesha kwa Vitendo afanye hivyo ili Jeshi letu liwe na Vipaji vingi na Kuongeza Ubunifu Jeshini.

6. Wakija kuanzia Saa Mbili Asubuhi kwa Usahili msiwape Chakula na muwaambie hakuna Kula chochote au hata Kunywa Maji hadi Jioni Saa 12 ili Kupima Uvumilivu Wao.

7. Tegesheni mahala tofauti tofauti Pesa ( hasa Shilingi Elfu Kumi Kumi ) na Bange / Bangi ili kujua kama kuna Vijana Wezi na Wavuta Bangi miongoni mwao na Muwaepuke / Muachane nao upesi.

au ikiwezekana Siku hiyo ya Kuwadahili Hawa Vijana Wenu Waomba Ajira zenu Mpya zilizotangazwa Juzi / Jana mnialike GENTAMYCINE nije niwafanyie Mambo yote haya Saba ( 7 ) niliyoyaandika hapa ili nilikabidhi Jeshi letu Tukuka na Mahiri la JWTZ Vijana Wanaostahili kweli na siyo wa Michongo na Kubabaisha.
 
Majeshi ya wenzetu hayo Mambo walisha Achana nayo kitambo Sana...........SASA hivi ni mwendo WA teknolojia Tu......Kwisha kazi hata waje 1000000
 
Michongo na Kubabaisha
Kweli mkuu yaan kuna wanajeshi ukimcheck unajiuliza mara 3 hivi na yeye ni mwanajeshi? Especially wanawake yaan ndio hua nachoka kabisa kapitapitaje maana najua kwata za jeshi sio mtoto mtoto wengine hua wanakimbia kambini wanakimbia kupiga kwata
 
Majeshi ya wenzetu hayo Mambo walisha Achana nayo kitambo Sana...........SASA hivi ni mwendo WA teknolojia Tu......Kwisha kazi hata waje 1000000
Hakuna jeshi lisilopitia hatua ya ukakamavu mkuu, fitness muhimu yaan hio ni must kwa mwanajeshi
 
Mimi tuu nikienda tizi nazunguka uwanja wa mpira mara 20 na ni raia, hao waliopitia JKT wazunguke walau mara 100
 
Na nakuomba CDF Jenerali Mkunda kama Waombaji Ajira Wote katika Tangazo lenu wakiyashindwa haya Mazoezi yafuatayo muachane nao na mbaki na wale tu Watakaoweza ( walio Fiti ) kabisa

1. Wakimbie kwa Kuuzunguka Uwanja wa Mkapa mara 75 kwa Spidi kama za Winga teleza wa Yanga SC Tuisila Kisinda.

2. Wao kwa Wao wazichape / wapigane Kavukavu na atakayempiga Mwenzake ndiyo achukuliwe.

3. Kila Mmoja apewe Chombo cha Chuma kilichowekwa Chakula cha Moto sana na wakile huku wakiwa Wamekishikilia na Wakitabasamu na siyo Kununa.

4. Kila Mmoja alazimishwe Kudidisha Mkuyenge / Mkurudungu wake tena Kiukakamavu ili kupima Urijali wao na msije mka recruit Askari Shoga kama ilivyokuwa kwa Marehemu Afande Mmoja namhifadhi Jina Kimaadili ( aliyekufa Kimaajabu Maajabu ) wa Lugalo Kambini ( kabla ya Kujengwa kwa haya Maghorofa ) na Mlango Mdogo Kawe.

5. Kila Muombaji aseme ana Kipaji gani na kama anaweza Kukionyesha kwa Vitendo afanye hivyo ili Jeshi letu liwe na Vipaji vingi na Kuongeza Ubunifu Jeshini.

6. Wakija kuanzia Saa Mbili Asubuhi kwa Usahili msiwape Chakula na muwaambie hakuna Kula chochote au hata Kunywa Maji hadi Jioni Saa 12 ili Kupima Uvumilivu Wao.

7. Tegesheni mahala tofauti tofauti Pesa ( hasa Shilingi Elfu Kumi Kumi ) na Bange / Bangi ili kujua kama kuna Vijana Wezi na Wavuta Bangi miongoni mwao na Muwaepuke / Muachane nao upesi.

au ikiwezekana Siku hiyo ya Kuwadahili Hawa Vijana Wenu Waomba Ajira zenu Mpya zilizotangazwa Juzi / Jana mnialike GENTAMYCINE nije niwafanyie Mambo yote haya Saba ( 7 ) niliyoyaandika hapa ili nilikabidhi Jeshi letu Tukuka na Mahiri la JWTZ Vijana Wanaostahili kweli na siyo wa Michongo na Kubabaisha.
Point.
Natamani ungemtag kabisa aone.
 
Nimecheka daaahh kweli we popoma
Ukicheka Wewe au Mkicheka nyie Mimi ndiyo Furaha yangu na ndiyo maana hata Signature yangu inasadifu "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Mkuu.

Kwahiyo hapa nimetoa Ujumbe wa Kificho kwa Jeshi na Wakufunzi na badae nikawaburudisha ( Entertain ) kwa Kuwachekesheni.
 
Hakuna jeshi lisilopitia hatua ya ukakamavu mkuu, fitness muhimu yaan hio ni must kwa mwanajeshi
Endelea kuvunja tofali Kwa kichwa na kupasua mbao........utakuja kwenye uwanja WA medani utachapwa na javelin hata DNA yako ikubadili jinsia wakipima mabaki yako
 
Point.
Natamani ungemtag kabisa aone.
Tokea Kikwete's Era, Magufuli's Era na hata sasa Samia's Era hakuna CDF asiyenisoma 24/7 au asiyenifolo GENTAMYCINE hapa JamiiForums Mkuu.

Kama Rais Wenu Mstaafu Kikwete ananisoma, Hayati Dk. Magufuli alikuwa akinisoma na huyu wa sasa Samia ndiyo kabisa Siku yake haiwi nzuri kama hajanisoma GENTAMYCINE hapa JamiiForums Wao ni nani Wasinisome au hata Kunifolo?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
 
Na wanawake watunishe nini ikiwa wanaume wanatunisha mikunyenge yao?

Alisikika mlevi wa feminism
 
Kweli mkuu yaan kuna wanajeshi ukimcheck unajiuliza mara 3 hivi na yeye ni mwanajeshi? Especially wanawake yaan ndio hua nachoka kabisa kapitapitaje maana najua kwata za jeshi sio mtoto mtoto wengine hua wanakimbia kambini wanakimbia kupiga kwata
Mkuu umenichekesha kweli kweli yaani hujui Wanawake wanaoingia ( tena wale Warembo kabisa au wenye Mvuto Kimaumbile ) Jeshini wanapitajepitaje? Acha hizo bhana.....!!!!!!
 
Na nakuomba CDF Jenerali Mkunda kama Waombaji Ajira Wote katika Tangazo lenu wakiyashindwa haya Mazoezi yafuatayo muachane nao na mbaki na wale tu Watakaoweza ( walio Fiti ) kabisa

1. Wakimbie kwa Kuuzunguka Uwanja wa Mkapa mara 75 kwa Spidi kama za Winga teleza wa Yanga SC Tuisila Kisinda.

2. Wao kwa Wao wazichape / wapigane Kavukavu na atakayempiga Mwenzake ndiyo achukuliwe.

3. Kila Mmoja apewe Chombo cha Chuma kilichowekwa Chakula cha Moto sana na wakile huku wakiwa Wamekishikilia na Wakitabasamu na siyo Kununa.

4. Kila Mmoja alazimishwe Kudidisha Mkuyenge / Mkurudungu wake tena Kiukakamavu ili kupima Urijali wao na msije mka recruit Askari Shoga kama ilivyokuwa kwa Marehemu Afande Mmoja namhifadhi Jina Kimaadili ( aliyekufa Kimaajabu Maajabu ) wa Lugalo Kambini ( kabla ya Kujengwa kwa haya Maghorofa ) na Mlango Mdogo Kawe.

5. Kila Muombaji aseme ana Kipaji gani na kama anaweza Kukionyesha kwa Vitendo afanye hivyo ili Jeshi letu liwe na Vipaji vingi na Kuongeza Ubunifu Jeshini.

6. Wakija kuanzia Saa Mbili Asubuhi kwa Usahili msiwape Chakula na muwaambie hakuna Kula chochote au hata Kunywa Maji hadi Jioni Saa 12 ili Kupima Uvumilivu Wao.

7. Tegesheni mahala tofauti tofauti Pesa ( hasa Shilingi Elfu Kumi Kumi ) na Bange / Bangi ili kujua kama kuna Vijana Wezi na Wavuta Bangi miongoni mwao na Muwaepuke / Muachane nao upesi.

au ikiwezekana Siku hiyo ya Kuwadahili Hawa Vijana Wenu Waomba Ajira zenu Mpya zilizotangazwa Juzi / Jana mnialike GENTAMYCINE nije niwafanyie Mambo yote haya Saba ( 7 ) niliyoyaandika hapa ili nilikabidhi Jeshi letu Tukuka na Mahiri la JWTZ Vijana Wanaostahili kweli na siyo wa Michongo na Kubabaisha.
Mmmh kiongozi know days tunacheza na tricks
 
Wewe bwana nadhani hujawahi kuhudhuria japo mafunzo ya mgambo!
 
Back
Top Bottom