Kwani hilo lilikuwa halijulikani?Madogo wamejiumiza kizembeeee
Siasa tu zile zilikuwaSasa MEKO alivyosema waajiriwe alikuwa anamaanisha nini?
Wanasiasa walishapaingilia lkn na wametia kadoaJeshini hakuna siasa, Jeshini borders only
Hakumaanisha waajiriwe na JKT.
Wataajiriwa na halmashauri za wilaya!Sawa kama sio JKT waajiriwe wapi? Waende ualimu au udaktari bila kuwa na taaluma?
wabunge wa ndugaiWewe hujapita JKT, waulize Halima Mdee na Bulaya watakujuza!