CDF Mabeyo: JKT siyo sehemu ya ajira bali ni sehemu ya kuwafundisha vijana uzalendo

CDF Mabeyo: JKT siyo sehemu ya ajira bali ni sehemu ya kuwafundisha vijana uzalendo

Vijana wa kajamba nani ndio wanafundishwa uzalendo. Kwenye Hilo kundi la kujitolea hakuna hata mtoto mmoja wa mbunge, waziri au kiongozi jeshini. Vijana wameshajitolea miaka mitatu mnataka wajitolee miaka mingapi? Huu si uungwana kabisa.
 
Isingekuwa sehemu ya ajira basi wasingewatumia kujenga miradi hiyo..

Kwani nchi iliishiwa wakandarasi?

Tunaposema Jiwe alifeli big time ndio issue kama hizi wakandarasi waliokaa darasani walibaniwa opportunities ili wapewe watu wanaoendeshwa kwa kwa amri ya "Ndio Mkuu" huku wajanja wakitia kibindoni pesa lukuki....

Wameficha mimba weeeh na gauni hatimaye siku ya kuzaa imefika uchungu umewaumbua..
 
Jeshini kuna karanga wa aina mbili,wa 'kujitolea' na wa 'mujibu'.maana ya kujitolea mnajua lakini!!?
 
Back
Top Bottom