GE2025 CDF Mkunda: Wanaofanya vitendo vya kihalifu waache mara moja na wananchi endeleeni kuwa watulivu

GE2025 CDF Mkunda: Wanaofanya vitendo vya kihalifu waache mara moja na wananchi endeleeni kuwa watulivu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Common Folk

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2023
Posts
909
Reaction score
4,050
Ametoa agizo kupitia TBC, ITV.

IMG_8641.jpeg


Video:

 
Ametoa agizo kupitia TBC, ITV.

Aambiwe kabisaaa kuwa raia hatutaki hizo stories anazoanza kutuletea,unaita vp watu wahalifu ili hali waliosababisha yote haya wapo na hawajafanya chochote mpaka dakika hii?..
.

Hii damu ya ndugu zetu iliyomwagika haowezi ikaenda bure........aambiwe hilo na atie akilini
 
Wenye wajibu wa kukemea na kupambana na vitendo vya kihalifu ni polisi na sio jeshi la wananchi.

Kazi ya jeshi ni kulinda mipaka ya nchi, katiba na uhuru wa nchi.

Vitendo vya kihalifu mitaani havihusiani na usalama wa mipaka ya nchi, katiba na uhuru. Wanaofanya uchaguzi haramu ndio wanakiuka katiba ya nchi na ndio ambao jeshi linawajibu wa kushughulika nao.
 
Hivi kati ya ccm na bangi kipi ni haramu?
 
Mbona hii taarifa ni mbovu kabisa; hii ni kweli imetolewa na huyo anayesemwa kuwa kaitoa?

"Vitendo vya uHALIFU" ni vipi, KUANDAMANA kupinga uchafuzi?

Mbona hicho kitendo cha "uchafuzi" ndio UHALIFU wenyewe?

Huyu apuuzwe, hana nia njema na taifa letu huyu.
 
Back
Top Bottom