Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Mbona hii taarifa ni mbovu kabisa; hii ni kweli imetolewa na huyo anayesemwa kuwa kaitoa?
"Vitendo vya uHALIFU" ni vipi, KUANDAMANA kupinga uchafuzi?
Mbona hicho kitendo cha "uchafuzi" ndio UHALIFU wenyewe?
Huyu apuuzwe, hana nia njema na taifa letu huyu.
Alichokisema CDF ni kuwa “Mimi niko upande wa Samia, wananchi ninyi ni wahuni tu”Hivi kati ya ccm na bangi kipi ni haramu?
CDF katoa ujumbe wa hovyo sana; inaonyesha kiasi cha ubovu tulioufikia kila sehemu ndani ya taifa letu...ujumbe wa Cdf maana yake ni kwamba Polisi wamesalimu amri.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣..ujumbe wa Cdf maana yake ni kwamba Polisi wamesalimu amri.