Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Mwanajeshi anayeshindwa kumshawishi nwanasiasa hawezi kuwa mwanajeshi wala mwanasiasa.Mkuu Samuya ukimsikiliza akiwa anaongea na Askari CCM anawaambia wajifunze mazoezi ya kimedari, ndiyo Maana Samuya aliyoingia Ikulu akawarudisha Askari makambini akasema kwanini Askari wanafanya miradi ya kiraia, Serikali ya Awamu ya 5 ilifanya makosa kuwapa kazi za miradi JKT, Wanajeshi wanatakiwa wafanye mafunzo ya kivita tu na siyo kujenga Bara Bara, Majengo, na kilimo.Sasa kwa Akili za Samuya unafikiri Jeshi linaweza kubuni vitu vya maendeleo na Huyu Samuya hajui Kama JKT ni chombo cha uzalishaji mali kilimo na ufugaji yeye badala aware uwezo yeye anawaambia warudi kambini wakapige kwata.
Tumeona wenzetu wanajeshi wamejiongeza wanastaafu wanakuja kuongoza nchi zao kina Eisenhower, kina George Marshall wameweka mpaka Marshall Plan imeongoza dunia kuanzia baada ya vita vikuu vya pili vya dunia mpaka leo.
Hawa wanajeshi wetu wamefanya nini zaidi ya kulialia tu?
Mkuu wa majeshi mstaafu akilialia na sisi raia tu tufanyeje?