Mwanajeshi anayeshindwa kumshawishi nwanasiasa hawezi kuwa mwanajeshi wala mwanasiasa.Mkuu Samuya ukimsikiliza akiwa anaongea na Askari CCM anawaambia wajifunze mazoezi ya kimedari, ndiyo Maana Samuya aliyoingia Ikulu akawarudisha Askari makambini akasema kwanini Askari wanafanya miradi ya kiraia, Serikali ya Awamu ya 5 ilifanya makosa kuwapa kazi za miradi JKT, Wanajeshi wanatakiwa wafanye mafunzo ya kivita tu na siyo kujenga Bara Bara, Majengo, na kilimo.Sasa kwa Akili za Samuya unafikiri Jeshi linaweza kubuni vitu vya maendeleo na Huyu Samuya hajui Kama JKT ni chombo cha uzalishaji mali kilimo na ufugaji yeye badala aware uwezo yeye anawaambia warudi kambini wakapige kwata.
Nimekuambia kuwa naelewa kanuni ya civilian control of the military.Nimeshasema setting of public policy sio mandate ya JWTZ. Hilo ni jukumu la elected civilian leaders!
Tatizo wewe umeshindwa hata kuelewa context ya speech yake! Hakuitisha press conference kwa ajili ya suala hili.Nimekuambia kuwa naelewa kanuni ya civilian control of the military.
Lakini wanajeshi wana influence kubwa sana, Mabeyo katumiaje influence hiyo? Hajatueleza kashauri nini, kafanya nini, kashindwa wapi.
Zaidi ya kulialia tu, Mabeyo ana hata mfano wa alichofanya jeshini, kwenye domain yake, kukabiliana na tatizo hili, wananchi tuone mfano tuige? Hana.
Mabeyo ana hata mfano wa jinsi jeshi lilivyoweka mpango wa kuvuna maji ya mvua na kuyahifadhi, wanajeshi wayatumie makambini, hata vijana wakienda JKT tu wajifunze somo hili ambalo halihitaji teknolonia kubwa sana? Hana.
Sasa nikisema huyu ni mtafuta kick mnafiki tu, anaongea mambo ambayo alivyokuwa na nafasi ya kutuonesha anafanya hakufanya unashindwa vipi kunielewa?
Huelewi wapi hapo?
Why should that matter?Tatizo wewe umeshindwa hata kuelewa context ya speech yake! Hakuitisha press conference kwa ajili ya suala hili.
There was no reason to expect him to cover that subject comprehensively. Katika context ya speech yake, kutarajia yeye aseme alifanya nini wakati wa utumishi wake honestly sijui hata basis yake nini.Why should that matter?
Hayo mawazo aliyoyatoa si yake kwa sababu hakuitisha press conference?
Anaongoza au anaongozwa?Hata mwanaume anaweza kuwa kiongozi mpumbavu na emotional pia. Tena anaweza kuongoza hovyo kuliko hata Samia
Uongozi haujali jinsia, Samia anashindwa kuongoza nchi vizuri kwa sababu ana uwezo mdogo wa kufikiri. Sio kwa sababu ni mwanamke
Hakukuwa na sababu ya yeye kuongelea suala hili hivyo baada ya kustaafu, hakukuwa na sababu ya yeye kuongelea kitu ambacho alishindwa kukitekeleza hata jeshini tu alivyokuwa CDF.There was no reason to expect him to cover that subject comprehensively. Katika context ya speech yake, kutarajia yeye aseme alifanya nini wakati wa utumishi wake honestly sijui hata basis yake nini.