CDF mstaafu Mabeyo amelikoroga, Makamu wa Rais ndiye alitakiwa kuwa mtu wa kwanza kila hatua kujua afya ya Rais

Somebody taught me this one day somewhere..

Akaniambia ni vyema kama ndugu mna mgonjwa wenu amelazwa hospitalini, asubuhi mnapokwenda kumuona msiache mwanamke aende peke yake, lazima aambatane na mwanaume, ili kama mgonjwa akiwa na hali mbaya sana, au bahati mbaya ameshafariki, basi mwanaume awepo ili kumtuliza mwanamke, wanawake hawawezi kujizuia kwenye vilio, wanalia mpaka unajiuliza hivi huyu atanyamaza kweli...
 
Katiba inasemaje?
 


4 nadhani ujasikiliza vizuri maongezi yake, alichomaanisha ni kuwa Tanzania haijawahi kuwa na Rais mwanamke, Je Kwa sasa Rais anaenda kuwa mwanamke Je ataitwa Amiri jeshi mkuu?

Wakasema hapana aisiitwe Amiri jeshi because Hilo jina ni la Rais wa kiume ndio akasema jeshini hakuna mwanaume wala mwanamke kuna Officer na Askari

Wakaenda kuuliza kwenye taasisi ya Kiswahili na jina walilopata ni la kiongozi wa inchi za kidini

Yeye ndio akasema Rais aitwe Ameri jeshi mkuu
 

Yes na hiyo haiwezi kubadilika

Mwanaume ni mwanaume Tu

Na kwenye kupokea taarifa ngumu then mwanaume anaweza kuhandle Kwa haraka na Kwa utulivu kuliko mwanamke

Ndio maana waislam hawataki wanawake kwenye kuzika

Wabakie nyumbani huko
 
Nimeshangaa pia:
  • Dar es Salaam walikuwepo watatu: CDF, IGP & DGIS
  • Makamu wa Rais alikuwa Tanga, Waziri Mkuu alikuwa mkoani (Dodoma or elsewhere)
  • Lakini Waziri Mkuu aliitwa na alipata taarifa mapema, kabla ya Makamu wa Rais
Something is fishy here.

Mama hakuwa Priority kwa Rais JPM. JPM kama angekuwa smart enough , awamu ya pili ilitakiwa aje na makamu mpya, hata Mpango

Hata ishu za ikulu zilikuwa zinavuja inasemekana chanzo ni Mam ,

Mkumbuke mama alitaka kujiuzulu, JPM alikuwa ni mtu wa kuona mambo yanafanyika halafu siasa kidogo, ndio maana alikuwa mkali sana , na ukiwa ni mtu wa kufanya mambo yatokee basi kufanya kazi na watz unaweza hata kupiga watu makofi. Watz ni wavivu watu wa connection na ujanja ujanja

Mama hakuwa anaenda na kasi ya JPM. Walizoea zile siasa za kila kijiji kupewa 50M

Katika nyanja za ulinzi na usalama mtu hata kama ni mke wako akishaonesha any dishonesty au potential threat, unatakiwa kutumia ELIMINATION policy completely Kama alivofanya putin kwa kiongozi wa lile kundi

Hakukuwa na haja ya kumbembeleza mam asijiudhuru, alitakiwa atoe immediately go
Ahead , tayari alishakuwa potentiel threat ,

Eliminate completely

Shida kubwa JPM. alikuwa mshamba na ngosha. Alitakiwa kumuweka Mam pembeni round ya pili kama alivofanya JK kwa Edo.

Hakikisheni watoto zenu mnawazaa town
Vitu vingine hufundishwi unatakiwa kuona kwa jicho la eagle
 
Sasa kwani wewe hujui jiwe aliongoza nchi kijeshi/kidikteta?

Yeye aliamini bunduki na gwanda za kijeshi ndo uhai wake, kumbe aamuaye juu ya mauti ni uzima ni Mungu
 
Tena Magu alivuta siku nyingi kabla hata ya hiyo siku iliyotajwa...ushahidi ni mazoezi ya brass band za jeshi yaliyokuwa yakiendelea karibia wiki 2 kabla kifo cha Magu hakijatangazwa rasmi, kama afanyavyo Msechu tu yan
 
Kudhani kuwa Makamu hakuwa na taarifa ni utoto, labda kujua ile kakata moto ila sio hali ya ugonjwa.... acheni kushambulia watu wanaotubu ili kuponya mioyo yao.
 
Mbona bro hili linaeleweka? Yeye kaongea kwenye upande wa kijeshi au kiaskari alipokuwa anasimamia na amesema yeye ndiye alikuwa mwenyekiti wa wakuu wa majeshi (IGP, TAKUKURU, UHAMIAJI na TISS). Ulitaka ataje hadi manesi, madaktari, wanasiasa, viongozi wa chana na serikali na familia ilivyokuwa inaenda kumuona au walivyokuwa wanajulishwa?

Wengine wataeleza hilo, ila yeye kaongelea kwenye angle ya vyombo vya usalama mkuu.
 
Kudhani kuwa Makamu hakuwa na taarifa ni utoto, labda kujua ile kakata moto ila sio hali ya ugonjwa.... acheni kushambulia watu wanaotubu ili kuponya mioyo yao.
JF much know ni wengi sana. Alafu jamaa anajitoa ufahamu kuwa CDF kaongelea kwenye angle ya majeshi na sio issue za chama, serikali na familia. Yeye Kasema kama mwenyekiti wa wakuu wa majeshi ya ulinzi na usalama namna wao walivyokuwa wanapewa taarifa na kwenda kumuona JPM.

Hakusemea kwenye angle ya viongozi wa chama na serikali wala familia ya JPM.
 

Naafikina na wewe [emoji817]. Kwenye vikao vya kiume ndo penye maamuzi, wanawake huja kufwata maamuzi, sasa we jichanganye uweke mwanamke kwenye kikao cha maamuzi utajua kwanini yesu hakua na mwanafunzi wa kike.
 
..Na aliyekuwa akimtonya Tundu Lissu kuwa mbaya wake yuko mahututi ni nani?

..Maana Lissu alikuwa na taarifa kuzidi Samia, Kassimu, Bashiru, hata Mama Janet.

Katika list ya madokta waliotajwa

Kuna mmoja alikuwa ana affiliation na upande mwingine….. ever wondered why watu walikuwa wanaongea kwa hakika

Ila IDARA ya state house seems was much compromised
 
Wewe ndio umelikoroga, bakita ni baada ya Raisi wa sasa kujua na kuwa anataka kuapishwa, sasa hapo ndio lugha ya Amiri au Amira ipi itumike
 
Sio mke wa marehemu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…