denoo JG
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 2,701
- 9,759
Somebody taught me this one day somewhere..Sio kila mtu anaweza kuhandle taarifa za msiba wa mtu
Na Kwa tamaduni za kiafrica wanaume kwanza ndio wanapeana taarifa
Haijalishi huyo mwanamke ana cheo gani, but cha kwanza wanaume lazima wakutane wapange mambo yatakuwaje
So mabeyo Yuko sahihi kabisa
Akaniambia ni vyema kama ndugu mna mgonjwa wenu amelazwa hospitalini, asubuhi mnapokwenda kumuona msiache mwanamke aende peke yake, lazima aambatane na mwanaume, ili kama mgonjwa akiwa na hali mbaya sana, au bahati mbaya ameshafariki, basi mwanaume awepo ili kumtuliza mwanamke, wanawake hawawezi kujizuia kwenye vilio, wanalia mpaka unajiuliza hivi huyu atanyamaza kweli...