Ujuaji si kosa kama unachojua ni sahihi na umekipata kwa juhudi zako binafsi..cheo, hadhi au Mali havimfanyi mtu kujua lolote kama yeye mwenyewe hana bidii ya kutaka kujua!Wabongo bwana ujuaji mwingi Sana
Hivi unadhania mpaka mtu anakuwa CDF ni Jambo simple simple Sana eh
So wewe unajua utaratibu kuliko mkuu wa majeshi?
Tuache kujifanya wajuaji sana
Katiba ndio inasema hivyo?Sio kila mtu anaweza kuhandle taarifa za msiba wa mtu
Na Kwa tamaduni za kiafrica wanaume kwanza ndio wanapeana taarifa
Haijalishi huyo mwanamke ana cheo gani, but cha kwanza wanaume lazima wakutane wapange mambo yatakuwaje
So mabeyo Yuko sahihi kabisa
Jasusi Mtuhuru 🐼..Na aliyekuwa akimtonya Tundu Lissu kuwa mbaya wake yuko mahututi ni nani?
..Maana Lissu alikuwa na taarifa kuzidi Samia, Kassimu, Bashiru, hata Mama Janet.
Nadhani kwa kiasi kikubwa mtazamo wako upo sahihi. Umesahau tu kujumuisha nafasi ya Bunge na Mahakama.1. Aliyestahili kumpatia taarifa Makamo wa Rais juu ya kifo cha Rais Magufuli ni daktari wa Rais.
2. CDF Mabeyo alikuwa mkuu wa majeshi ndiyo, yeye pamoja na viongozi wengine wa vyombo vya usalama walitakiwa pia kupatiwa taarifa na Makamo wa Rais (Baada ya yeye kuwa mtu wa kwanza kabisa kufahamishwa) ili kuhakikisha tu usalama wa nchi upo vizuri.
3. Makamo wa Rais ndiye alitakiwa kuwa mtu wa kwanza kila hatua kujua afya ya Rais inaendeleaje.
4. CDF anachukua majukumu ya kuwa msaidizi mkuu wa Rais na mtoa taarifa kwa Makamo kuwa Rais amefariki (Kosa kubwa) mbaya zaidi Makamo wa Rais anakuwa mtu wa nne kuambiwa baada ya Waziri mkuu, CS na Taasisi ya kiswahili (Baada ya kujadili mpaka cheo cha Amiri jeshi mkuu)
Kosa ni la nani? Hayati Magufuli kujiundia kikundi chake cha siri kwa mambo yao huku wakimuondoa Makamo? Wasaidizi wake wakati Rais ni mgonjwa? Makamo wa Rais yupo Tanga anaongea kawaida tu huku Rais yupo kitandani akipigania uhai na wala hajulishwi hadi umauti tena masaa manne mbele baada ya mijadala ambayo kimsingi watu hawaijui katiba. Inafikirisha.
Sishangai kuona daktari binafsi wa hayati Rais Magufuli Prof. Mabula Mchembe kupotea ulingoni baada ya Samia kuwa Rais? Hivi yuko wapi huyu mtu?
Rasimu ya Warioba iboreshwe kidogo kulingana na uhitaji wa leoKumbe bwashee nawe unataka Katiba Mpya, vipi unaonaje ikija ile Rasimu ya Warioba?
Hizi dharau zenu ndio zilimponza mwendazakeSio kila mtu anaweza kuhandle taarifa za msiba wa mtu
Na Kwa tamaduni za kiafrica wanaume kwanza ndio wanapeana taarifa
Haijalishi huyo mwanamke ana cheo gani, but cha kwanza wanaume lazima wakutane wapange mambo yatakuwaje
So mabeyo Yuko sahihi kabisa
Huna unalolijua wewe, swala la afya ya Rais ni swala la ulinzi na usalama wa nchi na ndo maana utaona hakuna viongozi walokuwa wakiruhusiwa kumtembelea isipokuwa wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama.1. Aliyestahili kumpatia taarifa Makamo wa Rais juu ya kifo cha Rais Magufuli ni daktari wa Rais.
2. CDF Mabeyo alikuwa mkuu wa majeshi ndiyo, yeye pamoja na viongozi wengine wa vyombo vya usalama walitakiwa pia kupatiwa taarifa na Makamo wa Rais (Baada ya yeye kuwa mtu wa kwanza kabisa kufahamishwa) ili kuhakikisha tu usalama wa nchi upo vizuri.
3. Makamo wa Rais ndiye alitakiwa kuwa mtu wa kwanza kila hatua kujua afya ya Rais inaendeleaje.
4. CDF anachukua majukumu ya kuwa msaidizi mkuu wa Rais na mtoa taarifa kwa Makamo kuwa Rais amefariki (Kosa kubwa) mbaya zaidi Makamo wa Rais anakuwa mtu wa nne kuambiwa baada ya Waziri mkuu, CS na Taasisi ya kiswahili (Baada ya kujadili mpaka cheo cha Amiri jeshi mkuu)
Kosa ni la nani? Hayati Magufuli kujiundia kikundi chake cha siri kwa mambo yao huku wakimuondoa Makamo? Wasaidizi wake wakati Rais ni mgonjwa? Makamo wa Rais yupo Tanga anaongea kawaida tu huku Rais yupo kitandani akipigania uhai na wala hajulishwi hadi umauti tena masaa manne mbele baada ya mijadala ambayo kimsingi watu hawaijui katiba. Inafikirisha.
Sishangai kuona daktari binafsi wa hayati Rais Magufuli Prof. Mabula Mchembe kupotea ulingoni baada ya Samia kuwa Rais? Hivi yuko wapi huyu mtu?
Inasemwa VP alilazimishwa kufanya ziara Tanga ili kuwekwa mbaliNimeshangaa pia:
Something is fishy here.
- Dar es Salaam walikuwepo watatu: CDF, IGP & DGIS
- Makamu wa Rais alikuwa Tanga, Waziri Mkuu alikuwa mkoani (Dodoma or elsewhere)
- Lakini Waziri Mkuu aliitwa na alipata taarifa mapema, kabla ya Makamu wa Rais
Hukusikia hotuba ya Mabeyo Chato? hukusikia akimweleza Rais kwamba Hayati alimdokeza kitu atamuona ofisini ampe ujumbe wake? weupe upstairs kabisa.Magufuli aliweza kuagiza Mapadri waende, lakini alishindwa kuagiza aitiwe Makamu wake, hata amuachie wosia juu ya Majukumu anayomuachia, naona bado kuna vumbi halijatuama, nasubiri story zaidi.
Yaani kweli unaona sasa unakufa na una nafasi ya kutubu. Umuite Kiongozi umwachie wosia wa namna ya kuendelea na majukum na uache njia ya kutengeneza njia yako huko uendako? Inashangaza sana.Magufuli aliweza kuagiza Mapadri waende, lakini alishindwa kuagiza aitiwe Makamu wake, hata amuachie wosia juu ya Majukumu anayomuachia, naona bado kuna vumbi halijatuama, nasubiri story zaidi.
Siyo tu hivyo,hata ktk familia km mtoto wa kiume ni mkubwa au wa kwanza kuzaliwa na tayari walau ana umri wa miaka 20+ na amefunzwa vyema,amekuwa karibu na baba yake,baba akisafiri anakabidhiwa mkuki,upinde na mishale yake halafu mama yake anakuwa kiongozi kivuli ijapo huwa hawajui kuwa wao ni viongozi vivuli.Somebody taught me this one day somewhere..
Akaniambia ni vyema kama ndugu mna mgonjwa wenu amelazwa hospitalini, asubuhi mnapokwenda kumuona msiache mwanamke aende peke yake, lazima aambatane na mwanaume, ili kama mgonjwa akiwa na hali mbaya sana, au bahati mbaya ameshafariki, basi mwanaume awepo ili kumtuliza mwanamke, wanawake hawawezi kujizuia kwenye vilio, wanalia mpaka unajiuliza hivi huyu atanyamaza kweli...