CDF Mstaafu Mabeyo ametaka kufikisha ujumbe. Je, wananchi tumeuelewa ujumbe?

CDF Mstaafu Mabeyo ametaka kufikisha ujumbe. Je, wananchi tumeuelewa ujumbe?

All in all pamoja na kuwa na CDF aliyenyooka, vilevile tumepata Rais muungwana sana.

Waliyoyafanya akina Bashiru Ally, Ndugai na Majaliwa Kassim Majaliwa kutaka kupora u-Rais wa Samia ni uhaini kwenye macho ya sheria.

Lakini Samia bado anafanya kazi na Majaliwa Majaliwa na bado amewaacha Bashiru Ally na Ndugai kama wabunge
Hapana, Rais SSH siyo Muungwana. Laiti angalikuwa, kitu cha kwanza ilikuwa kuziba mianya ili uhuni usitokee tena.
Alipaswa kukaa kitako na Wananchi kusuka katiba, hakutaka! alichosema 'anajenga uchumi'

Pili, kuwaacha akina Bush, Jobs na Lucky ni kutekeleza ''impunity'' SSH akitegema 'quid pro quo'.
Muungwana haweza kuacha uovu na waouvu watamalaki kwasababu tu akiwapa vyeo watatulia! hapana

JokaKuu
 
Gen Venance Mabeyo akiwa na viongozi waandamizi wa Ulinzi na Usalama

Nimesikiliza clip ya mahojiano ya Mstaafu CDF Gen Venance Mabeyo na mwandishi wa habari wa gazeti la serikali, Daily News.

Udhubutu wa kuyaweka mambo wazi ni kipaji na ujasiri ambapo nampongeza kwa dhati Gen Mabeyo kwa hilo.

Mambo mengi imekuwa utamaduni kuyafutika futika na hivyo ukweli kutojulikana.

Kwa dhamira njema kabisa, Gen Mabeyo amethibitisha kuliweka mbele Taifa kama kiapo chake kinavyomtaka, kulinda Katiba.
Huu ni ujasiri usio kawaida, maana kwa watu walafi wangeweka maslahi yao mbele kuliko matakwa ya Taifa na Katiba.

Tunaona umuhimu wa viongozi waadilifu, ambao siku hizi ni wachache.

Mungu akulinde Gen. Venance Mabeyo.
Mabeyo katukosea sana watanganyika basi tu
 
Back
Top Bottom