Ceasefire Sudan inaisha leo usiku saa tano,: Inawezekana Waamerika na Wasaudi watafanikiwa kuleta amani Sudan?

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Wamefanikiwa katika hii ceasefire ya siku saba kuleta amani hapa na pale. Wanawaomba Paramilitary Forces na Jeshi waiendeleza ceasefire na waendelee na mazungumzo ya amani.

Naona kama vile there is a glimmer of hope.

Lakini Waafrika lazima washirikishwe. Rais Rutto aliaema this is an African problem and it should have an African solution.

Rais Rutto anaelekea kupinga foreign financing of Peace Talks. Lakini,why not?

Wale foreigners watataka waifanye hii kazi peke yao and get all the credit. But maybe it won,'t happen that way.
 
Duniani ni sehemu ya mapambano....mbaya tu mafahali wanapopambana zinaumia "nyasi"......
 
Back
Top Bottom