Ceaser Lobi Manzoki ni Simba SC atatambulishwa rasmi Kesho Saa 5 Asubuh

Ceaser Lobi Manzoki ni Simba SC atatambulishwa rasmi Kesho Saa 5 Asubuh

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Sasa ndiyo tutaheshimiana Mjini hapa kwani Goal Scoring Machine inatua rasmi Simba SC.

Kuna Uwezekano mkubwa Victor Agban ndiyo akaachwa na Simba SC kwani Kocha hajamkubali japo Viongozi wa Simba SC wao wanataka Mzungu wa Kocha Mshambuliaji Dejan Georgeviovich ndiyo aachwe.

Ikitokea Wawili hawa Mmoja wapo hatoachwa ili Kumpisha Manzoki basi kuna Uwezekano pia Saido Kanoute akauzwa Afrika Kusini au tayari Deal la Pape Ousmane Sakho kwenda Klabu Kubwa Afrika au Ulaya zilizomtaka likawa limekamilika.

Kesho ni furaha tupu. Karibu Tanzania na Karibu Simba SC Ceaser Lobi Manzoki.

Mnaoeneza Propaganda kuwa mmemchukua nye endeleeni tu Kujidanganya na Kuwadanganya Mashabiki wenu

Imeisha hiyo Kudadadeki.
 
Dirisha la CAF si limefungwa tokea tarehe 15 mwezi huu?
 
Naona utopolo wanaweza kumchukua mchezaji mwingine toka Ug.

Tweet ya Barbra inanionesha dalili Manzoki will be RED...

Let's wait and see.
 
Back
Top Bottom