Ceaser Lobi Manzoki ni Simba SC atatambulishwa rasmi Kesho Saa 5 Asubuh

Dirisha la CAF si limefungwa tokea tarehe 15 mwezi huu?
Huwa kuna penalt unapigwa ukipeleka kwa kuchelewa...mwsho ni tarehe 31 Aug...ila hakuna ukwl wwte kuhusu hilo......hatuwez kumsajili labda yanga maana ndo angalau boss wao anatka kufanya team iwe kubwa kwa hapa EA..ila huyu mpare wetu Mo hana mpango na simba tena
 
SIMBA MMESHAPOTEANA MAPEMA HIVI?

HILO VUGUVUGU LA UGOMVI LITAISHA LINI?

MPAKA ATAMBULISHWE NDIO NITAAMINI
 
Sasa ndiyo tutaheshimiana Mjini hapa kwani Goal Scoring Machine inatua rasmi Simba SC.

Kuna Uwezekano mkubwa Victor Agban ndiyo akaachwa na Simba SC kwani Kocha hajamkubali japo Viongozi wa Simba SC wao wanataka Mzungu wa Kocha Mshambuliaji Dejan Georgeviovich ndiyo aachwe.

Ikitokea Wawili hawa Mmoja wapo hatoachwa ili Kumpisha Manzoki basi kuna Uwezekano pia Saido Kanoute akauzwa Afrika Kusini au tayari Deal la Pape Ousmane Sakho kwenda Klabu Kubwa Afrika au Ulaya zilizomtaka likawa limekamilika.

Kesho ni furaha tupu. Karibu Tanzania na Karibu Simba SC Ceaser Lobi Manzoki.

Mnaoeneza Propaganda kuwa mmemchukua nye endeleeni tu Kujidanganya na Kuwadanganya Mashabiki wenu

Imeisha hiyo Kudadadeki.
nakuona mtani katika umerudi katk ubora wako!
 
1041 EA TIME
0941 SA TIME

Bado dk 19 atangazwe, akitangazwa mniite MBWA nimekaa pale
 
Saa ngapi?
1660838449151.jpg
 
Back
Top Bottom