zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
huyu dingi umeme mdogo kichwaniSaa ngapi?View attachment 2328686
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu dingi umeme mdogo kichwaniSaa ngapi?View attachment 2328686
Huyu hapa msemaji rasmi wa klabu akinukuliwa na vyombo rasmi vya habari.Msemaji wa klabu Ahmed Ally amesema Simba imeachana na manzoki kwa sababu inshu zake haziko "clear" sasa nyinyi mnaosema "anakuja" ni kina nani, kimsingi akija Simba tutaonekana Kuna ombwe kwenye uongozi, kitu ambacho mm sikiamini.
Mbona kuna wachezaji wengi wenye ubora zaidi ya huyu Cesar, hizi Scouting sijui zinafanya kazi gani!? Yaani Simba au Yanga wavunje mkataba kwa USD laki 3 kwa mchezaji alibakisha miezi miwili mkataba uishe, itakua hizi timu zina viongozi vichaa!Huyu hapa msemaji rasmi wa klabu akinukuliwa na vyombo rasmi vya habari.View attachment 2328779
Hii ndio Tanzania viongozi huwa ni kigeugeu[emoji23][emoji23][emoji23]Msemaji wa klabu Ahmed Ally amesema Simba imeachana na manzoki kwa sababu inshu zake haziko "clear" sasa nyinyi mnaosema "anakuja" ni kina nani, kimsingi akija Simba tutaonekana Kuna ombwe kwenye uongozi, kitu ambacho mm sikiamini.
Leo nmeona amepost Simba na sakho akakoment kumkalibishaNaona utopolo wanaweza kumchukua mchezaji mwingine toka Ug.
Tweet ya Barbra inanionesha dalili Manzoki will be RED...
Let's wait and see.
Hawamuwezi huyo..Ban kama zote..hapo penyewe anatembea na Ban moja.
Ikiwa hivyo tutaita mind gameMsemaji wa klabu Ahmed Ally amesema Simba imeachana na manzoki kwa sababu inshu zake haziko "clear" sasa nyinyi mnaosema "anakuja" ni kina nani, kimsingi akija Simba tutaonekana Kuna ombwe kwenye uongozi, kitu ambacho mm sikiamini.
Ulikuwa porini umefika mjn leo eeDirisha la CAF si limefungwa tokea tarehe 15 mwezi huu?
Dirisha la CAF lilikuwa lifungwe july 31 wakasogeza mpaka August 15. Ni vipi unasema nimetoka porini?Ulikuwa porini umefika mjn leo ee
Hawa jamaa ndiyo wanao sababisha Mwigulu atuongezee tozo kila siku.Manzoki wa wapi huyo dah hii nchi ngumu sana
Mtaomba pooHawa jamaa ndiyo wanao sababisha Mwigulu atuongezee tozo kila siku.
...ila hakuna ukwl wwte kuhusu hilo......hatuwez kumsajili labda yanga maana ndo angalau boss wao anatka kufanya team iwe kubwa kwa hapa EA..ila huyu mpare wetu Mo hana mpango na simba tena