CECAFA Challenge Cup

CECAFA Challenge Cup

List itakuwa na ulakini.......simba wengi
 
Final score 2-1 Harambee stars.Tunawania nafasi ya tatu sasa kwa kucheza na loser mwenzetu atakayepatikana kati ya semi final nyingine ya Uganda na Burundi.
 
Thanks for your quick respond, lakini mpaka lini ttacha kubabaisha kwenye mechi za kimataifa?
 
Kulikuwa na pengo la defence Yondani na Nsajigwa walikuwa na kadi ikabidi Henry Joseph acheze beki
 
Sasa tutapambana na Burundi kutafuta mshindi wa tatu kwa hili kombe la CECAFA. Sijui tutawaweza Burundi, ama nao watatumwagia Ugali, manake wakenya wamemwaga Mboga.

Inabidi Maximo akaze kamba, na wachezaji kujituma zaidi, manake CHAN itakuwa si lelemama. Ama sivyo timu na watakaofuatana nayo wataenda kutalii na kututia aibu.
 
Your right man. Lakini goli 5 inamaana Burundi wamelogwa? Ama kweli soka si kitu cha kukitabiri sana, manake hapo hapakua na upinzani.

Nuku ya Mtanzahia:

Kocha(wa kenya) wake Francis Kimanzi ameonyesha furaha ya dhahiri na kucheka baada ya kuthibitisha kwamba Nsajigwa hatacheza kwenye mchezo wa leo na kudai kuwa kazi ni nyepesi.


Yule Nsajigwa ni hatari sana nimekuwa nikimfuatilia alikuwa ananipa presha sana yaani kwa utafiti wangu niliofanya hakuna beki kama yeye sasa hivi Afrika Mashariki,î alisema Kimanzi.


Yule ni sawasawa na Roberto Carlos wa Brazil, hachuji. Kutokuwepo kwake kutanirahisishia kazi sana, lakini mimi nitamtumia Fred Ojuang leo kikamilifu.
 
Mximo alipeleka si tu baadhi ya wachezaji wa Taifa stars bali pia baadhi ya wachezaji wa majiribio kwa hiyo performance ya team in course of trying other options sio mbaya, atumaini atakuwa amepata kikosi cha maangamizi na kwenye CHAN nect month lazima tufanye mambo ya uhakika.
 
Nakukubali kwa kuonyesha uzalendo, kwani usipo jipa moyo watu walio nje watakumaliza kirahisi, let we hope 'yes we can'
 
harambeestars.jpg


Harambee Stars

spocap_120109_01.jpg


Harambee Stars players Francis Ouma (number 9), Mike Baraza(16) and Kevin Ochieng celebrate after they dimmed Taifa Stars, Sunday

Mohraha.jpg


Harambee stars players celebrate their goal against Tanzania during their Cecafa semi final match at Nelson Mandela stadium in Kampala, Uganda on Sunday.
Mohsemis2.jpg


George Owino of Kenya beats Mrisho Ngasa Tanzania to the ball during their Cecafa semi final match at Nelson Mandela stadium in Kampala, Uganda on Sunday

Mohsemi.jpg


George Owino of Kenya controls the ball under pressure from Mrisho Ngasa of Tanzania during their Cecafa semi final match at Nelson Mandela stadium in Kampala, Uganda on Sunday.

MohrahaaBIG.jpg


Harambee stars' Mike Baraza celebrates his goal against Tanzania during their CECAFA semi final match at Nelson Mandela stadium in Kampala, Uganda on Sunday
 
Last edited:
Wadau leo nadhani tutafanya kweli dhidi ya Burundi angalau Maximo apate medali ya SHABA kama his second achievement after that of taking Taifa stars to CHAN 2009
 
Last edited:
Timu ya Soka ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars', leo inapambana na Burundi katika mchezo wa kusaka nafasi ya tatu ya michuano ya Kombe la Chalenji inayofikia tamati leo jijini hapa.


Mchezo huo umepangwa kuanza saa 9.30 alasiri, kabla wenyeji Uganda na Kenya hawajamenyana katika fainali itakayochezwa saa 12.30 jioni. Michezo yote miwili itaonyeshwa moja kwa moja na kituo cha GTV kupitia channel yake ya G Sport 1.


Kilimanjaro itacheza mchezo huo kusaka heshima ya nchi na dau la dola za Marekani 10,000, baada ya kupoteza mchezo wa nusu fainali kwa magoli 2-1 mbele ya Kenya ambao ni wapinzani wao wa miaka mingi.


Kikosi cha Kocha Marcio Maximo kinashuka katika Uwanja wa Namboole bila mlinzi wake wa kati na wa kutegemewa, Salum Sued aliyeonyeshwa kadi nyekundu wakati wa mchezo wa nusu fainali na ambaye ni mzoefu wa michezo ya kimataifa kuliko wachezaji wengine wote waliomo ndani ya kikosi hicho. Sued amecheza michezo 44 ya kimataifa.


Kocha Maximo atapanga timu isiyokuwa na Sued kwa mara ya kwanza katika kipindi kinachokaribia miaka miwili tangu mechi ya Machi 24 2007 wakati Taifa Stars ilipofungwa magoli 4-0 na Senegal mjini Dakar huku Idara ya Ulinzi wa kati katika mechi hiyo ikishikiliwa na Victor Costor na Hamis Yusuph.


Hata hivyo Maximo atakuwa anafarijiwa na kurejea kwa mlinzi wa kati Kelvin Yondani aliyeikosa nusu fainali kutokana na kuwa na kadi nyekundu na Shadrack Nsajigwa aliyekuwa na kadi mbili za njano.


Katika maeneo mengine hakutarajiwa kuwapo mabadiliko makubwa na kiungo Kigi Makasi anaweza kuaminiwa na kocha huyo raia wa Brazil kutokana na kazi kubwa aliyoifanya kwa kuiwezesha timu kushambulia kwa kasi kupitia pembeni kushoto pale alipoingia katika dakika ya 31 tu ya mchezo kuchukua nafasi ya Shaban Nditi aliyekuwa na msaada kidogo kwa timu.


Akizungumzia mechi hiyo ya kusaka nafasi ya tatu, Kocha Maximo amesema nafasi hiyo itakuwa faraja kubwa kwa wachezaji wake na kuwajenga kisaikolojia ili waweze kubakia katika mstari kuelekea katika fainali za Afrika kwa wachezaji wa ndani zitakazofanyika Ivory Cost kati ya Februari 22 na Machi 8.


Kilimajaro Stars na Burundi hazijawahi kukutana katika mchezo wowote wa mtoano tangu Brundi na majirani zao Rwanda walipojiunga na CECAFA mwaka 1995. Hata hivyo timu hizo mbili zimeshakutana mara kadhaa katika michezo ya hatua ya makundi ambapo mwaka 2002 Stars ikiwa mwenyeji ilishinda kwa magoli 2-1 mjini Mwanza na pia Stars ikapata ushindi kama huo katika michuano ya Kigali Rwanda mwaka 2005.


Na katika michuano ya mwaka 2007 iliyofanyika Dar es Salaam na Arusha timu hizo zilikuwa katika kundi A na zilitoka 0-0. Katika mchezo wa fainali Uganda na Kenya zitakuwa zikikutana kwa mara ya pili katika hatua hiyo, huku mara ya kwanza na ya mwisho zikiwa zimekutana mwaka 1982 kwenye uwanja wa Nakivubo, ambapo Kenya ilifanikiwa kuwazima wenyeji.


Uganda tayari wametwaa ubingwa Chalenji mara tisa na hivyo wanasaka ubingwa wa kumi, huku Kenya ikiwa inasaka ubingwa wake wa sita baada ya kulinyakua kombe hilo mara tano
 
East African rivals meet in final

_45368367_bobby_williamson282.jpg


The Uganda coach has called for fans to back his side

Hosts Uganda will play their great local rivals Kenya in the final of the Cecafa Cup on Tuesday, with coach Bobby Williamson urging the home fans to get behind the team.

The Cranes are confident that they can claim a win - unlike back in 1982 in Kampala, when Kenya came from behind to level the game, and then won the tournament on a penalty shoot-out.

Uganda have been in fine form throughout this event, sailing into the final with a 5-0 hammering of Burundi.

But that has not stopped some sections of the footballing public from criticising the team.

Coach Bobby Williamson says the team - who have reached the final for the first time in five years - need all the backing they can get.

"Don't just turn up and expect us to win," he told the BBC's African sports programme Fast Track.

"We'll need support, we need everybody to get behind the players. There's a lot of young players there and we need to keep encouraging them.

_45368373_francis_ouma_300.jpg


Kenya's Francis Ouma has been banging in the goals in the Cecafa Cup

We've stated that we're trying to build a team to challenge in more serious competitions - and two years later these guys will be better.

"If some people can't understand the way we're trying to play then that's their problem - I've got to play the way I believe football should be played."

Uganda have a full squad to choose from, with Kasule Owen returning from suspension.

But Kenya coach Francis Kimanzi is relaxed about the challenge ahead.

"I have studied them and I think there is no reason to panic", he said.

"We have gone through a tough tournament and what I can promise is that this is not going to be a walkover."

The final will take place on Tuesday at 1600 GMT, while the third place play-off - between Tanzania and Burundi - is scheduled for 1300 GMT.

BBC SPORT | Football | African | East African rivals meet in final
 
Leo bwana ni muhimu tushinde hasa ikizingatiwa tumepata vipigo viwili mfululizo, basi inabidi hasira ziwashukie burundi. Hope this is our match to win to day. All the best Kil. Star!
 
Back
Top Bottom