Lol...................Nilikuwa na joke kuna jamaa wameonyeshwa kwenye screen wanafurahiya screen.
polisi wamelea huu ujinga kazi yao ni nini sasa?Timu zinaingia uwanjani sasa.....Mashabiki wa Yanga wanawarushia makopo watu w huduma ya kwanza kisa wamevaa nguo nyekundu na nyeupeUpumbavu huu sasa
Dakika 30 za nyongeza.Penalti hazijafika?