Zion Train
JF-Expert Member
- Jun 5, 2008
- 501
- 78
shukrani mkubwaHongera Yanga..... Balantanda na ma fans wote wa yanga hongereni sana.
hahahha!! Penalt ile ushaisahau ndani ya dk moja tu?Mke mkeo tu........Hauna haja ya kumchungulia bafuni akioga
Timbe kweli ana maajabu! Kombe mara nne na timu nne tofauti na yanga nao wanachukua kwa mara ya nne.
Pole mkuu!hongera balantanda na wadau wote wa yanga na wote mliokuwa mnatu updates hapa. Rev masa hongera kwa ushindi pia...
i agree.theres no two winnersthere was only one winner whenwecame to extra time
pamoja mkuu. Theres only one winner in football.Pole mkuu!
Bora Yondani angevaa jezi ya kijani....sijaona mchezaji mnazii kama yule....sasa kujiangusha pale ili iweje.....sijui kapewa bei gani