Zion Train
JF-Expert Member
- Jun 5, 2008
- 501
- 78
kamati yetu ya ufundi leo wamechemsha, mvua haikunyesha, hongereni yanga goli zuri sana kusema za kweli, kati mlitawala sana, simba piga ua tutafute mfungaji mgosi naona anakimbia na mpira tu. dah ingekuwa kama enzi za zamni sitoki nje leo na wala nisingekula, kukuwa kuzuri naugulia kishujaa.