CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

kamati yetu ya ufundi leo wamechemsha, mvua haikunyesha, hongereni yanga goli zuri sana kusema za kweli, kati mlitawala sana, simba piga ua tutafute mfungaji mgosi naona anakimbia na mpira tu. dah ingekuwa kama enzi za zamni sitoki nje leo na wala nisingekula, kukuwa kuzuri naugulia kishujaa.
 
hongera balantanda na wadau wote wa yanga na wote mliokuwa mnatu updates hapa. Rev masa hongera kwa ushindi pia...
 
Aramba aramba tena aaaaaaaaaaaaaaam aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam

Subirini madongo toka kwa Gang Chomba
 
Timbe kweli ana maajabu! Kombe mara nne na timu nne tofauti na yanga nao wanachukua kwa mara ya nne.

Mkuu hebu nipe kwanza hizo club zingine alizofundisha huyu kocha......maana anaonekana ni mzuri sana
 
Jamani turusheni mada kwengine nikitizama uwanja umejaa watu je kiingilio ilikuwa ngapi? Na je pesa zinakwenda wapi tuoneshwe kwenye bajeti za bunge.
 
Presida Bala & wadau wote wa Yanga Bravo............
Ki ukweli mumestahili kuwa mabingwa...
Hongereni sana!
 
Bora Yondani angevaa jezi ya kijani....sijaona mchezaji mnazii kama yule....sasa kujiangusha pale ili iweje.....sijui kapewa bei gani

kusemaq ukweli siku zote nimekuwa nikihisi wanamuonea lakini leo alichokifanya yondani, aangalie kisimkute cha pablo escobar, kwani ni ujinga wa hali ya juu sana kuinama badala ya kuruka

im totally disgusted with this chap, huwa sipendi watu kushinikiza wachezaji wafukuzwe, lakini watu wakiamua kushinikiza yondani afukuzwe nitawasapoti, kwanza anaingiliana na juma nyoso so bora aachwe au apigwe benchi

dos santos alipokuwa anamuacha tulimuona hana akili lakini nimemuelewa aliona mbali
 
nawakaribisha watani wangu SImba hapa "simba kapakatwa pub" kupata moja baridi. ninataka kutoa ofa kwa wapenzi 5 wa simba!

AAAAABJRU5ErkJggg==
 
kwenye jukwaa la presentation kuna jamaa aliyevaa shati la rangi mbili Red na Yellow anamanisha yeye ni shabiki wa Simba na Yanga au?
 
Nimeipenda sana nguo(shati) ya mgeni rasmi Waziri Emmanuel Nchimbi......Ina rangi nyekundu na njano......Kabalansi.......lol
 
Back
Top Bottom