CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Shida ya SIMBA ni PUMZI na fowadi BUTU.....BASENE ajipange kwa PREMIUN LEAGUE!
Namkumbuka kocha wangu Mzambia PATRICK PHIRI
 
Simba tulitakiwa kubaki Uwanjani kuonesha utuu wa kitanzania mashabiki sio kuondoka uwanjani si vizuri kuondoka kisa tumefungwa.
 
Twende mbele turudi nyuma.....

Goli la Yanga ni kali wakuu......La ukwe'e
 
kwenye jukwaa la presentation kuna jamaa aliyevaa shati la rangi mbili Red na Yellow anamanisha yeye ni shabiki wa Simba na Yanga au?
Emanuel Nchimbi waziri wa michezo, yuko nyutroo...
 
Shida ya SIMBA ni PUMZI na fowadi BUTU.....BASENE ajipange kwa PREMIUN LEAGUE!Namkumbuka kocha wangu Mzambia PATRICK PHIRI
Mkuu ukimtaja Patrick Phiri "Mathematician" utasababisha tutokwe machozi. Fitna za Rage zinatugharimu sasa!
 
Viongozi wameogopa safarihii wamejiweka Pembeni lol wamebalansi sijui nao?
 
Tanesco wamechukua umeme wao.....ahahahahaaah!! Hii nchi bana.
 
DUh Gizaaaaaaa uwanjani au ndio manjonjooooooooooo? au wana balansi.
 
Haya ni maajabu, simu za tochi zimejaa uwanjani......aibu ya mwaka kwa nchi yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…