saitama_kein
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 981
- 99
Shida ya SIMBA ni PUMZI na fowadi BUTU.....BASENE ajipange kwa PREMIUN LEAGUE!
Namkumbuka kocha wangu Mzambia PATRICK PHIRI
Namkumbuka kocha wangu Mzambia PATRICK PHIRI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli na forward ya Simba ilikuwa mauzauza ajabu.Defence ya Yanga ilikuwa imara sana leo. So wane deserve kuwin hii game.
Hahaaaaaaaaaaaaaaaanawakaribisha watani wangu SImba hapa "simba kapakatwa pub" kupata moja baridi. ninataka kutoa ofa kwa wapenzi 5 wa simba!
![]()
nimeipenda sana nguo(shati) ya mgeni rasmi waziri emmanuel nchimbi......ina rangi nyekundu na njano......kabalansi.......lol
Emanuel Nchimbi waziri wa michezo, yuko nyutroo...kwenye jukwaa la presentation kuna jamaa aliyevaa shati la rangi mbili Red na Yellow anamanisha yeye ni shabiki wa Simba na Yanga au?
Mkuu ukimtaja Patrick Phiri "Mathematician" utasababisha tutokwe machozi. Fitna za Rage zinatugharimu sasa!Shida ya SIMBA ni PUMZI na fowadi BUTU.....BASENE ajipange kwa PREMIUN LEAGUE!Namkumbuka kocha wangu Mzambia PATRICK PHIRI
Aibu gani hiiiiiiiiiiiiiUmeme umekatika uwanjani......Hahaaaaaaaaaaaaaaaa
nawakaribisha watani wangu SImba hapa "simba kapakatwa pub" kupata moja baridi. ninataka kutoa ofa kwa wapenzi 5 wa simba!
![]()