CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania



Chuji alirudi Simba?
 
Dakika ya 70 bado moja bila..wekundu bwana wanatuweka kwenye mashaka matupu na ushindi wa namna hii
 
dk 74 Ocean View 0:1 Simba
 
Nimesikiliza kupitia radio 1 wanasema aliekosa ni Ulimboka mwakingwe
 
bado kocha wa simba ana kazi kubwa kwenye ushambuliaji kama inawezekana watafute forward kwenye kujua kazi ya kucheka na nyavu
 
Full time Ocean view 0: 1 Simba.
Mungu akijalia kesho tukutane online Bunamwaya Vs El Mereikh @1400 then Elman Vs Yanga @1600
 
leo nadhani ni siku yao congrats simba(TZ) na utasikia kesho nao yanga wameshinda..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…