Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,741
kama bado wanapokea mchiko kutoka kwa Riz1 kupitia Manji wataimba nini zaidi..hivi yanga bado wanaimba ccm ccm ccm ... wakifunga goli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama bado wanapokea mchiko kutoka kwa Riz1 kupitia Manji wataimba nini zaidi..hivi yanga bado wanaimba ccm ccm ccm ... wakifunga goli?
Wenyewe huita bunduki lakini aliye kuwa mwenyekiti wa simba Dalali aliwaambia yale ni magombole yasiyo na risasi...kweli mwisho wa siku hutukuwasikia akina Lukunku wala kabogo...loltatizo la yanga na washabiki wao ni kutegemea sana magazeti kusifia ilhali uwanjani hakuna kitu, miaka yote karibuni waweza kufikiri kikosi cha yanga ni bala kutokana na kusoma mwanaspoti, bingwa au championi, na yanga kila mwaka mnanunua wachezaji kwa mbembe lakini viwango vyao huja kufia bongo , angalia mtu kama steven bengo alikuwa bonge ya winga lakini yanga mlimuua, na wakati huohuo huwa hamchelewi kununua magalasa kama yale ya aime lukunku, kabongo honore, patrick katalay, davies mwape just to name a few wenyewe mnayajua magalasa yenu, so binafsi sitishiki sana na kelele za magazeti kazi ipo uwanjani jamani
tusubiri na tuone hiyo hii kagame na ligi kuu mwezi septemba
yanga kapewa zawadi leo 2-2 ila jamaa wamejifunga magoli mawili aisee.
Uwanjani sasa ni Ocean view Vs Red sea, matokeo ni bila bila.Tunaomba Ratiba ya game za leo kama zipo.
Matokeo ya mwisho ni vipi? Mechi ya pili nayo vipi?Mpira ni mapumziko. Ocean wanaongoza kwa goli 1
Hatuna watangazaji wazuri wa soka hasa upande wa televisheni.Huyu Mtangazaji wa Star tv"TOM CHILALA" ovyo sana yaani anaongea upuuzi pumba ambazo hazina maana kabisa wala havihusiani na Soka kwakweli mie ananiboa anadhani kutangaza mpira nikubwata ovyo ovyo. Game imeisha Entecel1-3Vitalo.
Nakubaliana nawewe Katavi ila sidhani kama kila kitu lazima uingie darasani unaweza ukafahamu baadhi ya vitu kutokana na Mapenzi yako kwavyo nakufuatilia mambo,wengi wetu humu tunafuatilia sana Premier na Soka ya Nje kwa ujumla na tunasikia Macomentator pa1 na Maanalyst wanachoongea.Mtu anatangaza mpira asilimia 60 ya Matangazo anatumia kuongea mambo yake binafsi nakujisifia inaudhi sana Aiseh.Hatuna watangazaji wazuri wa soka hasa upande wa televisheni.
Jamaa wanachonga mbaya kabisa...Haya hayaAAAAAAA.....leo Ocean View hawatoki!
Safu ya ushambuliaji imekwisha pewa makali na nina hakika tuta weka nyavuni goli 3 safiiiiiiiiiii!
SIMBA MBELE, NYUMA MWIKO..................................