CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Naona mabeki wa yanga wanapoteana, wasipokuwa makini jamaa watasawazisha.
 
Jamaa wamesawazisha goli kali ajabu. Morogoro APR nao wanaongoza kwa magoli 3!
 
Yanga wamezidiwa kwa kweli, wasipokuwa makini watafungwa!
 
Hakuna dalili zozote za Yanga kutafuta goli la ushindi......Yanga wamekoswa!
 
Wachezaji wa yanga wamechoka, wanakimbizwa kama wachezaji wa UMITASHUMTA.
 
Mabingwa watetezi APR wanatisha, tayari wana goli nne.
 
Dakika tatu za muda wa ziada, Yanga 2-2 El Mereikh...
 
Kitendo cha kutojituma kwa wachezaji wa kiTanzania ndicho kinacho ua soka letu la kibongo. Wanacheza utafikili hawafanyagi mazoezi, ninaweza kusema YaNga inabidi wajipange upya.
 
Full time:
Dar es salaam: Yanga 2-2 El Mereikh
Morogoro: APR 4-0 Ports

Thanks to Star TV.
 
Full time Yanga 2:2 El Mereikh
 
Back
Top Bottom