CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Ocean view Vs Simba...

Dk. ya 20 sasa matokeo Ocean view 0:0 Simba

Simba walipata penati Amir Maftah akakosa,kipa kaipangua....

Hawa Ocean view wanacheza vizuri kweli............Chuji naona mdebwedo,anaanguka anguka tu.......

Goooooooooooooaaaaaaaaaaaaaaaaaaal...........Amir Maftah anasawazisha makosa yake hapa,anafunga goli dakika ya 22 Ocean view 0:1 Simba

Chuji alirudi Simba?
 
Dakika ya 70 bado moja bila..wekundu bwana wanatuweka kwenye mashaka matupu na ushindi wa namna hii
 
dk 74 Ocean View 0:1 Simba
 
Ocean view Vs Simba...

Dk. ya 20 sasa matokeo Ocean view 0:0 Simba

Simba walipata penati Amir Maftah akakosa,kipa kaipangua....

Hawa Ocean view wanacheza vizuri kweli............Chuji naona mdebwedo,anaanguka anguka tu.......

Goooooooooooooaaaaaaaaaaaaaaaaaaal...........Amir Maftah anasawazisha makosa yake hapa,anafunga goli dakika ya 22 Ocean view 0:1 Simba
Nimesikiliza kupitia radio 1 wanasema aliekosa ni Ulimboka mwakingwe
 
bado kocha wa simba ana kazi kubwa kwenye ushambuliaji kama inawezekana watafute forward kwenye kujua kazi ya kucheka na nyavu
 
Full time Ocean view 0: 1 Simba.
Mungu akijalia kesho tukutane online Bunamwaya Vs El Mereikh @1400 then Elman Vs Yanga @1600
 
leo nadhani ni siku yao congrats simba(TZ) na utasikia kesho nao yanga wameshinda..
 
Back
Top Bottom