Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
heshima yako Katavi.....thanks kwa updates na hongera kwa hawa vijana wa zanzibarMpira umemalizika Zanzibar ocean view 3 Enticelles ya Rwanda 2. Mchezo unaofuata simba na vital'o.
Endelea kutujuza mkuu..je na mechi inayo fata itaonyeshwa na startv maana nina hamu kuwaona wafatao....Haruna Moshi, Athumani Idd, Mafisango, Machaku,Rajab isiaka,Walyalu Derrick wakiwa wamevaa uzi wa wekundu wa msimbazi...Mpira umemalizika Zanzibar ocean view 3 Enticelles ya Rwanda 2. Mchezo unaofuata simba na vital'o.
Inaonyeshwa mkuuheshima yako Katavi.....thanks kwa updates na hongera kwa hawa vijana wa zanzibar
kila la kheri mnyama naona mechi inakaribia kuanza
ok mkuu ngoja nichekina hawa star tv hapaInaonyeshwa mkuu
Mkuu usitumie umri kujustify hoja yako, Zidane alikuwa kiungo bora kabisa mashindano ya kombe la dunia 2006 wakati alikuwa na umri mkubwa.
Inaonyeshwa mkuu
Bora kwa lipi fafanua mkuu
Kukata rufaa na kufungwa magoli 3 ndani ya dakika 3! LOL!
LINE UP PLEASE!!!
sana sana ya wawakilishi wetu Mnyama
Mkuu mie nimejibu kulingana na ulichokisema, Gumbo tayari alikwishaonyesha mahaba na timu nyingine kwa hiyo tusingeweza kumng'ang'ania, mie niko uwanjani Haruna bado ni mzuri, Chuji yuko benchi.Samahani kumbuka Zidane ni next level usifananishe kabisa.Mazingira yanayomzunguka Zidane tofauti na mazingira ya wachezaji wetu we angalia eti unamuacha mchezaji kama Gumbo unasajili Chuji au Boban wachezaji ambao msimu ulioisha hawajacheza soka lolote la mashindano unategemea nn?Sana sana kwenye nafasi ambayo ni roho ya timu kiungo.
gor mahia wanakupa HI ...timu ya kumi kwenye ligi ya kenyaMsije potea baadae.
Mkuu mie nimejibu kulingana na ulichokisema, Gumbo tayari alikwishaonyesha mahaba na timu nyingine kwa hiyo tusingeweza kumng'ang'ania, mie niko uwanjani Haruna bado ni mzuri, Chuji yuko benchi.
Ahahahaah!!!gor mahia wanakupa HI ...timu ya kumi kwenye ligi ya kenya
gor mahia wanakupa HI ...timu ya kumi kwenye ligi ya kenya
Mkuu Ktavi ahsante sana kwa update ingawa hujatutajia line upHalf time Simba 0-0 Vital'o..
Timu zote zinashambulishaana kwa zamu, Mgosi kakosa magoli kadhaa ya wazi, jamaa nao wanashambulia Kaseja kasave kama mara mbili, Line-up ya Simba:Juma Kaseja, Said Nassoro, Amir Maftah, Juma Nyoso, Walaah Derick, Jerry Santo, Salum Machaku, Mohamed Banka, Musa Mgosi, Haruna Moshi na Ulimboka Mwakingwe: Line-up ya Vital O nitakudanganya.Naamini ww ni mshabiki wa soccer na unaijua vzr soka tukiacha ushabiki vp soka likoje hapo uwanjani na kama ikiwezekana tupe line up