Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
mbuyu unabishana na mchichaNa ww WACONGO MAN na WAYDAD wanakupa hi sana sana TP MAZEMBE waliokugeuza home n away
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbuyu unabishana na mchichaNa ww WACONGO MAN na WAYDAD wanakupa hi sana sana TP MAZEMBE waliokugeuza home n away
Timu zote zinashambulishaana kwa zamu, Mgosi kakosa magoli kadhaa ya wazi, jamaa nao wanashambulia Kaseja kasave kama mara mbili, Line-up ya Simba:Juma Kaseja, Said Nassoro, Amir Maftah, Juma Nyoso, Walaah Derick, Jerry Santo, Salum Machaku, Mohamed Banka, Musa Mgosi, Haruna Moshi na Ulimboka Mwakingwe: Line-up ya Vital O nitakudanganya.
Sorry mkuu, sijaipata vizuri line up ya timu zote mbili.Mkuu Ktavi ahsante sana kwa update ingawa hujatutajia line up
duuuh kwahiyo Vital'o wako 12??Kuna mchezaji wa simba kauzuia mpira uliokuwa unaelekea wavuni kwa Vital'o katika hekaheka za kufunga......simba wanakosa goli la wazi!
Simba wanaonekana wana uhai kipindi hiki japo umaliziaji haujatulia. Simba wanakosa goli la wazi hapa...
Mohamed Banka(6), Juma Nyoso(4), Haruna moshi(11), Amir Mafuta(3), Derrick(5), Ulimboka Mwakingwe(7), Said Nassor(2), Mussa Hassan Mgosi(9)Sorry mkuu, sijaipata vizuri line up ya timu zote mbili.
ahahaah!! Ilikuwa ni katika harakati za kuokoa..duuuh kwahiyo Vital'o wako 12??
Mohamed Banka(6), Juma Nyoso(4), Haruna moshi(11), Amir Mafuta(3), Derrick(5), Ulimboka Mwakingwe(7), Said Nassor(2), Mussa Hassan Mgosi(9)
sasa TP Mazembe utailinganisha na Gor mahia...Na ww WACONGO MAN na WAYDAD wanakupa hi sana sana TP MAZEMBE waliokugeuza home n away
simba beki naona imekamilika watafute mfungaji maana idara zote yaani kipa beki na kiungo ikosafi kwa sasa bado wafungaji hatuna maana mgosi anakosa kumi ana pata moja...naona mgosi ametoka anaingia Rajabu Isiaka huyu ametokea African Lyonmbona hakuna mfungaji?Sitashangaa matokeo yakibaki 0-0
Huyo Isihaka ni mfungaji? Au nae ni kama Mgosi?simba beki naona imekamilika watafute mfungaji maana idara zote yaani kipa beki na kiungo ikosafi kwa sasa bado wafungaji hatuna maana mgosi anakosa kumi ana pata moja...naona mgosi ametoka anaingia Rajabu Isiaka huyu ametokea African Lyon