Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,741
Hatuna mfungaji Mgosi asili yake ni kiungo wa pembeni hata Okwi nae si mfungaji ni kiungo wa pembeni tuna hitaji watu kama Tegete...Kwa ujumla simba wanashambulia lakini hakuna umaliziaji mzuri. Hivi sasa Vital'o wanaokoa tu.