CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Mechi ya pili ndio inaanza.....

Simba Vs Bunamwaya..
 
Simba kweli wanakazi, wapitie kwa Bunamwaya FC then El Mereikh . . . .
nahisi st Ivuga anapumua chinichini na kimkojo kwa mbaali.. kipenga ndo kishalia..
 
simba line-ups: kaseja, kanoni, cholo, dereck, nyoso, banka, mwakingwe, santo, mafisango, mgosi, maftah
 
Dah.....

Simba wanakoswakoswa hapa.......Kon ya kwanza...

Simba wawe waangalifu sana leo....
 
Mmmmhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh......

Simba wanahitaji umakini mkubwa sana na hawa Bunamwaya......

Goooooooooooooooooooooooooooal

Simba 1 Bunamwaya 0
 
Gooool, simba wanapata goli la kwanza kuna beki kajifunga!
 
Bunamwaya wanajifunga hapa.......

Safi sana Simba..........Safi sana Boban na Maftah
 
Pamoja na kuongoza kwa goli moja.....Simba wanahitaji umakini mkubwa sana......Kiungo chao kimepwaya na beki inakatika katika sana na kuruhusu mashambulizi......
 
simba bado na mpaka sasa hali ni mbaya kwa simba wameshakoswa mra 4 ila wao ni mara 2 toka goli lifungwe..
 
mike muti anarudisha sasa nadhani wa simba fans wanamzomea jk
 
Shuti limemshinda Kaseja......Kaingia nalo kwenye nyavu.......

Narudia tena......Simba wanahitaji umakini wa hali ya juuu........Wamepoteana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…