Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Half Time
Simba 1 Bunamwaya 1
Wachezaji wa Simba wanamzonga refa......Upuuzi huu sasa
Simba 1 Bunamwaya 1
Wachezaji wa Simba wanamzonga refa......Upuuzi huu sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanamzonga ndiyo ni dhairi refariii maamuzi yake yana utata.Half TimeSimba 1 Bunamwaya 1Wachezaji wa Simba wanamzonga refa......Upuuzi huu sasa
Ni kweli kabisa, ata Mgosi inaonekana naye anashangaa, lbd second half anaweza kui-mprove.Simba sijui kama tutatoka hawa jamaa ni noma hasa ukizingatia hatuna wafungaji na beki ya leo siiamini kabisa yaani Nyoso na Kelvin wakikaa pamoja ni madudu tu...Mungu tusaidie...
mkuu mi na sikiliza radio one wewe inaonekana unaangalia star tv kwa lazima tutofautiane mkuu..Ni kweli kabisa, ata Mgosi inaonekana naye anashangaa, lbd second half anaweza kui-mprove.
Kiongozi, mi naangalizia Superspot 9; mechi inalushwa LIVE.mkuu mi na sikiliza radio one wewe inaonekana unaangalia star tv kwa lazima tutofautiane mkuu..
Balatanda, thnx man kwa updates na kwa uzalendo. Kombe likiondoka itakuwa aibu sana.....