Cynic
JF-Expert Member
- Jan 5, 2009
- 5,144
- 1,651
Mmmmhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh......
Simba wanahitaji umakini mkubwa sana na hawa Bunamwaya......
Goooooooooooooooooooooooooooal
Simba 1 Bunamwaya 0
Poa Balantanda.. ila Yanga nao mlianza hivi hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmmhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh......
Simba wanahitaji umakini mkubwa sana na hawa Bunamwaya......
Goooooooooooooooooooooooooooal
Simba 1 Bunamwaya 0
na hisi atakuwa uwanjani leo kwani chama lak linacheza..Hivi yupo wapi St. ??
mike muti anarudisha sasa nadhani wa simba fans wanamzomea jk
mpaka sasa bunamwaya 2 simba hawana kitu..
maana yake bunamwaya wamejifungaMbona mnatuchanganya ... mara 1-1, mara 0-2 .. wengine hatuna njia mbadala kufuatilia mechi zaidi ya hapa JF
mpaka sasa bunamwaya 2 simba hawana kitu..
1-1...Mbona mnatuchanganya ... mara 1-1, mara 0-2 .. wengine hatuna njia mbadala kufuatilia mechi zaidi ya hapa JF
Matokeo ya wapi?maana yake bunamwaya wamejifunga