CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Half Time

Simba 1 Bunamwaya 1

Wachezaji wa Simba wanamzonga refa......Upuuzi huu sasa
 
ngoje tusubiri itakuaje ila simba naona kama hawana chao..
 
ndetichia na katavi, nahisi nyie mpira amuhuoni vizuri: kwa tathini ya harakaharaka
first half Simba 55 %- 45%Bunamwaya
Simba imepeleka mashambulizi mengi zaidi, ngoja tusubili secondhalf
 
Simba sijui kama tutatoka hawa jamaa ni noma hasa ukizingatia hatuna wafungaji na beki ya leo siiamini kabisa yaani Nyoso na Kelvin wakikaa pamoja ni madudu tu...Mungu tusaidie...
 
Simba sijui kama tutatoka hawa jamaa ni noma hasa ukizingatia hatuna wafungaji na beki ya leo siiamini kabisa yaani Nyoso na Kelvin wakikaa pamoja ni madudu tu...Mungu tusaidie...
Ni kweli kabisa, ata Mgosi inaonekana naye anashangaa, lbd second half anaweza kui-mprove.
 
Kipindi cha pili kimeanza..

Simba 1 Bunamwaya 1...

Kila la heri Simba
 
Ni kweli kabisa, ata Mgosi inaonekana naye anashangaa, lbd second half anaweza kui-mprove.
mkuu mi na sikiliza radio one wewe inaonekana unaangalia star tv kwa lazima tutofautiane mkuu..
 
Shija Mkina for Mussa Hassan 'Mgosi'(substitution)...

Mgosi kiwango kimeshuka sana....
 
Simba wanajipanga vizuri half hii......

Wakiendelea hivi watapata goli soon...

Go Simba go.........Utaifa kwanza
 
Jjuuko Murushid for R.Muganga(substitution ya Bunamwaya)....Huyu jamaa aliyeingia inabidi Simba wawe makini naye,mechi zilizotangulia alikuwa akiingia kama substitute na kubadilisha mchezo wa Bunamwaya kuwa wa ushindi.....
 
Balatanda, thnx man kwa updates na kwa uzalendo. Kombe likiondoka itakuwa aibu sana.....
 
Simba wanafanya uzembe sana hasa huyu Jerry SANTO......

Kudos kwa Juma Kaseja kwa kutuokoa watanzania....
 
Hawa Bunamwaya hawatabiriki kabisa yaani....

Dakika ya 72 Simba 1 Bunamwaya 1
 
Back
Top Bottom