CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Mpira umeisha.....

St.George 2:0 Vital'o

St.George wanakwenda Nusu fainali na watacheza na mshindi wa mchezo unaofuata kati ya Yanga na Red Sea
 
Tunaomba utupe kwanza kikosi kinachoanza

Kikosi cha Yanga ni hiki:

1. Yaw Berko
2. Shadrack Nsajigwa
3. Oscar Joshua
4. Chacha Marwa
5. Nadir Haroub
6. Nurdin Bakari
7. Godfrey Taita
8. Rashid Gumbo
9. Davies Mwape
10. Hamis Kiiza
11. Kigi Makassy
 
Mpira umeanza ni dakika ya 5 sasa

Yanga 0:0 Red Sea
 
Jamani hebu naomba kujuzwa kitaaluma..... Shadrack Nsajigwa na 7?!
 
Mwapeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaargh!!!!!!!!!!!!!!!
 
Jamani hebu naomba kujuzwa kitaaluma..... Shadrack Nsajigwa na 7?!

Hata mechi iliyopita na Bunamwaya kocha alipanga hivi hivi.......Aliua namba 7 akachezesha mabeki wawili wa kulia na ilisaidia sana maana bada ya Nsajigwa kutlewa Yanga walipoteza muelekeo na kusababisha Bunamwaya kusawazisha...Wanabadilishana.....Kuna kipindi Taita nacheza kama namba 2 na Nsajigwa namba 7 na kuna kipindi Nsajigwa anacheza kama namba 2 Taita anacheza 7 hivyo kuwachanganya wapinzani wao.....
 

Usiende mbali, anza na uongozi wa SSC...Ismail Aden Rage....
 
Yanga wana njia nyeupe zaidi kwenda finali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…